Siki Michael
Member
- Apr 20, 2020
- 15
- 9
Wanafunzi waliofauru darasa la saba na hawajapangiwa shule nini hatima yao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faulu sio fauruWanafunzi waliofauru darasa la saba na hawajapangiwa shule nini hatima yao
Wanafunzi waliofauru darasa la saba na hawajapangiwa shule nini hatima yao
Kwa wazazi wenye uwezo wao ilo sio swali kwao ila kwa wale wanaosubiri shule zetu pendwa ao inabidi wasubiri ila wakati serkali hii tajiri ikifanya utaratibu wa kuwaandalia nafasi wakati uo wazazi nao watafute namna ya kuwatafutia maali watakapokuwa wanasoma ili kuwalinda wasishinde mitaani.Wanafunzi waliofauru darasa la saba na hawajapangiwa shule nini hatima yao?