Mkuu ni KIKI na FUTUHI za Awamu ya 5 ...Eti wamefaulu halafu wanapiga mipromo kibao kwamba wanajenga shule ili wale waiopangiwa ikifika Febraury watakuwa washapangiwa shule.
Kwa wazazi wenye uwezo wao ilo sio swali kwao ila kwa wale wanaosubiri shule zetu pendwa ao inabidi wasubiri ila wakati serkali hii tajiri ikifanya utaratibu wa kuwaandalia nafasi wakati uo wazazi nao watafute namna ya kuwatafutia maali watakapokuwa wanasoma ili kuwalinda wasishinde mitaani.
Mimi nashauri kamati za shule wakae na kutenga muda wengine waanze masomo asubuhi mpaka saa sitatafu waende nyumbani na wengine waingie darasani saa sita hadi saa kumi.