Inaonekana we ni fisadi naomba unyamaze kabisa
2015 hampati kura hata chembe
Kwa taarifa yako mi ni mwanachama na pia ni kiongozi. Napigania haki, ila ktk hili. Jaribu kufikiria kuwa bodi ya mikopo wana bajet kwahiyo wanatoa mikopo kutokana na bajeti yao. Samahani kwa kuwaambia ukweli.
aaaaah! We ndo yule kiongoz mwenye ma-saburi makubwaaaaa, ndo maana! Bas sio kosa lako kiongoz, n maumbile yako. Na ndo mana wachina wana akili sana sababu ya maumbile yao.
Naheshimu mawazo yako, pia nayapokea kama changamoto kwangu. Ila ujumbe wangu umefika. Serikali inaongozwa na bajeti.
Bajet ambayo ina wapa mikopo watoto wa vibopa, na kuacha watoto yatima, watoto waliofaulu vizur,watoto wanaotaka kusoma education,watoto wanaotaka kusoma medicine. Ndo hyo serikal unayokufanya kutoka mishipa ya shingo kutetea. We n mtu mzima fikiri kabla ya kutoa maamuzi. Unaiaibisha elimu na umri ulionao.

hesabu kuna topic inaitwa probability, board ya mikopo wanafanya random selection, wanafanya wote wenye vigezo wana equal chance ya kuwa selected. Hata hao watoto wa vigogo si wana vigezo?
wewe mvivu wa kufikiri acha kuleta ushabiki wakitoto wanafanya probability ili iweje? mbona kuna course zinazopewa priority(medicine,education,agriculture) kaa ukijua wanatoa mikopo kwa vigezo tofauti ndio maana kuna grades(A,B,C,D...)
Sasa huu mwaka wamekurupuka kwanza wametoa pesa ambazo pia watu hawaelewi zinagawanyika vipi kingine watu wamenyimwa mkopo wenye kila sababu ya kupewa ikiwa ni pamoja na kusoma gvt schools kuanzia vidudu mpka chuo na wamefaulu zivuri kingine unakuta m2 uyouyo kapangwa izo medicine.
Wewe inaonekana unayo mdogo wako ambae kabaatika kupewa mkopo na wakati vigezo hana! acha kurudisha wa2 nyuma badala ya kujadili topic husika wa2 wanakujadili wewe... acha izo mambo ww...

hapo hakuna topic. Tatizo mnaogopa kuambiwa ukweli. Andamanane sasa.

Acha twende kwa mifano labda tutaeleweka. Na rafiki yangu kapangiwa Tumaini course ni mass communication kapata 3,950,000/= huyu baba na mama wote maafisa ana div 3 ya 14. Kuna T.0 pia kakosa mkopo, kna msichana kapata DUCE kakosa mkopo, kna aliyepata mineral Eng.Dodoma hajapata mkopo. Kuna rafk yangu hana mama na baba kastaafu ana dv 2 ya 11 kakosa mkopo. 80% ya wenzangu ambao tumepata div 2 tumekosa mkopo.watu tumejipinda kupiga buku wanatuletea siasa.Ngoja tuone km hiyo wiki itaisha vizur pale bodi! Maana hawawezag kutoa majibu mazuri mpaka muandike mabango, na kuonyeshwa ITV.

Dnt put your mouth in a motion before your brain isnt in a gear.

Bila MAANDAMANO, hamwezi kuharakishiwa haki yenu, ohoo... Shauri zenu.