Wanafunzi wamenitaiti, Swali la Uchumi....Msaada Please!!!!

Wanafunzi wamenitaiti, Swali la Uchumi....Msaada Please!!!!

Nswima John Edward

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
612
Reaction score
312
"Ikitokea bei ya bidhaa imeshuka sana, uchumi wa nchi utakuwa umepanda au umeshuka? Na kwa nini?" Kwa mfano ikitokea soda imeshuka bei kutoka Tsh 700/- had Tsh 150/-.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
We kweli ni mwalimu wa uchumi?Kasome the "law of supply and demand".Mi mambo ya uchumi si mtalam ila kupanda au kushuka kwa bei ya bidhaa si kigezo pekee cha kupima kama uchumi umepanda au kushuka.
 
Naomba kukuuliza, miongoni mwa viashiria vya kukua kwa uchumi (indicators of economic growth), je bei ya bidhaa ipo?
Jibu ni hivi, ikiwa kama hakuna uwekezaji katika sekta za kukuza uchumi, tusitarajie uchumi kukua.
Ikiwa kama bei ya bidhaa itashuka, huku bei za rasilimali zitapanda, hakuna uwekezaji.
Ikiwa kama bei ya bidhaa itashuka ili hali aggregate consuption haitopanda, kwa kuwa kipato halisi (real income) kimeshuka tusitarajie kukua kwa uchumi.
Endelea kuangalia viashiria vingine vya kukua kwa uchumi, kisha oanisha na bei ya bidhaa katika taifa.
Jitahidi kusoma vyema, Economics siyo somo gumu kwa ngazi ya sekondari.
 
Ukitumia Dmand and Supply ni kwamba Supply ikiwa kubwa kuliko Demnad automaticaly Price itakuwa chini make bidhaa sokoni zitakuwa nyingi sana, so si kweli kabisa kwamba bei kiushuka ni indicator ya Uchumi kuwa Mkubwa, Kuna factor nyingi sana zinazo weza fanya Bei kuwa ya Chini

1. Producer wa soda kuwa wengi sana hivyo kama nilivyo sema supply kuwa kubwa sana

2. Kuna Substute labda kwa sasa watu wanakunywa juice kwa wingi so ili kushindana inabidi soda bei iwe chini

3. Lower Purchasing powe, watu hawana pesa ya kununua soda na wanaichukulia kama anasa

4. Ghalama za uzalishaji kuwa Chini,

5. Transportation kuwa nzuri na kazalika

6. Local Curency kuwa na thamani kubwa sana dhidi ya Foreign Curency

Nchi kama USA bidhaa zake ni ghali sana pamoja na kuwa kiongozi katika uchumi wa Dunia, Na China bidhaa zake ziko bei ya Chini sana kutokana na Kushusha thamani ya pesa yao hivyo kufanya wanunuzi wanauo nunua kutoka China kununua kwa bei ya Chini

China ina encourage Export that is why wameshusha thamani ya pesa yao so kufanya Investers kuvutiwa kuwekeza kwa wingi sana nchini China kwa sababu Local curency iko Chini sana

ILA TUKUMBUKE KWAMBA KUSHUSHA THAMANI YA PESA YAKO KUNA KUWA NA FAIDA ENDAPO UHTAKUWA UNA IMPORT KUTOKA NJE, YAANI UNAKUWA NA LOW MATERIO ZA KUTOSHA,

Kwa Nchi kama Tazania kushusha Pesa yake thamani ni Msiba kwa Nchi kwa sababu tunaagiza kila kitu kutoka nje, na kwa sasa China wanafanya hivyo kwa sababu som time wanatumia pesa yao kununua kutoka nje wakati sisi ni USD

We kweli ni mwalimu wa uchumi?Kasome the "law of supply and demand".Mi mambo ya uchumi si mtalam ila kupanda au kushuka kwa bei ya bidhaa si kigezo pekee cha kupima kama uchumi umepanda au kushuka.

ndiyo walimu wetu hao, alafu bado tutegemee mwanafunzi apate A
 
Ukitumia Dmand and Supply ni kwamba Supply ikiwa kubwa kuliko Demnad automaticaly Price itakuwa chini make bidhaa sokoni zitakuwa nyingi sana, so si kweli kabisa kwamba bei kiushuka ni indicator ya Uchumi kuwa Mkubwa, Kuna factor nyingi sana zinazo weza fanya Bei kuwa ya Chini

1. Producer wa soda kuwa wengi sana hivyo kama nilivyo sema supply kuwa kubwa sana

2. Kuna Substute labda kwa sasa watu wanakunywa juice kwa wingi so ili kushindana inabidi soda bei iwe chini

3. Lower Purchasing powe, watu hawana pesa ya kununua soda na wanaichukulia kama anasa

4. Ghalama za uzalishaji kuwa Chini,

5. Transportation kuwa nzuri na kazalika

6. Local Curency kuwa na thamani kubwa sana dhidi ya Foreign Curency

Nchi kama USA bidhaa zake ni ghali sana pamoja na kuwa kiongozi katika uchumi wa Dunia, Na China bidhaa zake ziko bei ya Chini sana kutokana na Kushusha thamani ya pesa yao hivyo kufanya wanunuzi wanauo nunua kutoka China kununua kwa bei ya Chini

China ina encourage Export that is why wameshusha thamani ya pesa yao so kufanya Investers kuvutiwa kuwekeza kwa wingi sana nchini China kwa sababu Local curency iko Chini sana

ILA TUKUMBUKE KWAMBA KUSHUSHA THAMANI YA PESA YAKO KUNA KUWA NA FAIDA ENDAPO UHTAKUWA UNA IMPORT KUTOKA NJE, YAANI UNAKUWA NA LOW MATERIO ZA KUTOSHA,

Kwa Nchi kama Tazania kushusha Pesa yake thamani ni Msiba kwa Nchi kwa sababu tunaagiza kila kitu kutoka nje, na kwa sasa China wanafanya hivyo kwa sababu som time wanatumia pesa yao kununua kutoka nje wakati sisi ni USD

Kwa hiyo wakati wa Mkapa ni nini kilitokea?- kukua kwa uchumi au ni nini maana bei za bidhaa zilipungua, bidhaa nyingi zilikuwa zinaagizwa toka nje; isitoshe wakati huo pesa yetu ilikuwa na nguvu kuliko ilivyokuwa wakati wa Mwinyi au Sasa wakati wa kikwete
 
1}Ila vile vile katka knowlege ya trade cycle,tunaambiwa kwamba,uchumi unapokua katka ile peak phase{economic growth}..price of g&s znaincrease kwa sababu consumers wanakua wana income kubwa ambayo inawawezesha kufanya any purchasing at any cost,na vile vile uchumi unapokua ktk depression,price of g&s znashuka kwa sababu consumers wanakua hawana income kubwa kuwawezesha waweze kufanya transactions mbalimbali,so hapa itamforce producer adhalishe bidhaa ambazo bei zake ztaendana na income ya consumers kwa wakati huo ambapo mara nying lazima atashusha price za bidhaa husika..
2}price control method-hapa,serikali kwa makusudi inawaamuru producer kuuza bidhaa zao beyond equilibrium level{mfano bei ya soda from 700 to 150}ili kuwafavour majority consumers ambao income zao ni ndogo na lengo la hii njia huwa ni kustimulate economic growth.
3}deflation-hii wanaiita ni persistent decrease in general price level of g&s,ambapo ths method ni hamful kwa uchumi na inasababishwa na mambo mbalmbal kama currency devaluation,increase of imports of g&s from abroad,low investment,massive production of g&s,low demand etc
So kulingana na swali lako,bei ya soda inaposhuka kutoka
700-150,inaweza kuwa ni indicator ya uchumi kuporomoka au ikawa ni moja ya njia ya serikali kuukabili uchumi unao elekea kuporomoka.
 
... Ceteris paribus
Kinachoshusha bei za bidhaa ni
1. Ushindani kuwa mkubwa
2. Gharama za uzalishaji kushuka
3. Kushuka kwa vipato na hitaji
4.sera za serikali za udhibiti bei
5. Ruzuku na kodi
6 uimara wa shilingi vs dola
 
... Ceteris paribus
Kinachoshusha bei za bidhaa ni
1. Ushindani kuwa mkubwa
2. Gharama za uzalishaji kushuka
3. Kushuka kwa vipato na hitaji
4.sera za serikali za udhibiti bei
5. Ruzuku na kodi
6 uimara wa shilingi vs dola

U have my 5 like ndugu
 
wadau ni hivi. uchumi kupanda ama kushuka unapimwa kwa kitu kinachoitwa pato la taifa. katika kupima pato la taifa kuna pato halisi la taifa na jingine wanaliita kwakiingereza nominal GDP.kwaiyo ili kujua kama uchumi umepanda ama umeshuka ni vyema kutumia pato halisi la taifa linaloonesha ukuaji au ushukaji wa uchumi kutokana na kiasi cha uzalishaji katika nchi na si vinginevyo.
kwamaana iyo.kushuka kwa bei bidhaa uchumi unaweza ukapanda au ukashuka kutegemea na uzalishaji mali katika kipindi usika na si mabadiliko ya bei ya bidhaa.
 
Naomba kukuuliza, miongoni mwa viashiria vya kukua kwa uchumi (indicators of economic growth), je bei ya bidhaa ipo?
Jibu ni hivi, ikiwa kama hakuna uwekezaji katika sekta za kukuza uchumi, tusitarajie uchumi kukua.
Ikiwa kama bei ya bidhaa itashuka, huku bei za rasilimali zitapanda, hakuna uwekezaji.
Ikiwa kama bei ya bidhaa itashuka ili hali aggregate consuption haitopanda, kwa kuwa kipato halisi (real income) kimeshuka tusitarajie kukua kwa uchumi.
Endelea kuangalia viashiria vingine vya kukua kwa uchumi, kisha oanisha na bei ya bidhaa katika taifa.
Jitahidi kusoma vyema, Economics siyo somo gumu kwa ngazi ya sekondari.

NB: katika uchambuzi wa uchumi mkubwa (macroeconomics analysis) tunatumia bei ya ujumla (general price level). Mwalimu unapaswa kusoma kwa kina. Hii ni ishara ya ukanjanja.
 
"Ikitokea bei ya bidhaa imeshuka sana, uchumi wa nchi utakuwa umepanda au umeshuka? Na kwa nini?" Kwa mfano ikitokea soda imeshuka bei kutoka Tsh 700/- had Tsh 150/-.

Uchumi wa nchi haupimwi kwa bei, unapimwa kwa uzalishaji ulio na ufanisi. Kwa mfano, unaweza kuwa na bei kubwa sana za mahindi, kitu ambacho kinaweza kukufanya ufikiri kitasaidia kukuza uchumi kwa sababu wakulima wa mahindi watapata bei nzuri kwa mazao yao, lakini kama wakulima hawajazalisha na bei kubwa hiyo inatokana na ukame wa mahindi, bei kubwa haisaidii..

Na vile vile, unaweza kuwa na mahindi yenye bei ndogo sana, kwa sababu mvua nyingi na uzalishaji umepita mahitaji ya soko. Hapo pia una tatizo kwa sababu wakulima wametumia resources nyingi sana (muda, pembejeo, nguvu etc) lakini hawapati a good return on investment kutokana na deflation. deflation ambayo inaweza hata kuwa dis-incentivize kulima tena.

Swali linaulizwa kwa msingi wa makosa wa kufikiri kwamba uchumi wa nchi unashuka au kupanda kwa sababu ya bei, bila ya kuangalia uzalishaji.

Kama unataka kwenda na ceteris paribus, itabidi uangalie bidhaa inatengenezwa wapi? Nje au ndani ya nchi? Consumption yake ikoje nje na ndani ya nchi?

Kuongelea bei bila demand ni kama kumuhesabu window shopper kama mnunuzi. Kwa anayejua uchumi hakuna demand kama hakuna purchasing power. Kuna mengi sana ambayo muulizaji wa swali inabidi ayazingatie.

Kwenye macro economics kuna sentiments kwamba inflation is bad and the opposite (deflation) is good for the economy.This is not always true, the devil is in the details.

Uchumi wa Japan sasa hivi na kwa miaka kadhaa tatizo lake si inflation, ni deflation. Mpaka Shinzo Abe anaonekana messiah kwa ku adopt Keynessian rescues.

To the extent that producers wanakuwa discouraged to produce.

Kwa nini tu produce wakati tunajua bei zinashuka tu?
 
kushuka au kupanda kwa bei ni moja kati ya viashiria vya kubadilika kwa uchumi ikisupport viashiria vingine
 
Back
Top Bottom