Nswima John Edward
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 612
- 312
"Ikitokea bei ya bidhaa imeshuka sana, uchumi wa nchi utakuwa umepanda au umeshuka? Na kwa nini?" Kwa mfano ikitokea soda imeshuka bei kutoka Tsh 700/- had Tsh 150/-.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kweli ni mwalimu wa uchumi?Kasome the "law of supply and demand".Mi mambo ya uchumi si mtalam ila kupanda au kushuka kwa bei ya bidhaa si kigezo pekee cha kupima kama uchumi umepanda au kushuka.
Kwa hiyo wakati wa Mkapa ni nini kilitokea?- kukua kwa uchumi au ni nini maana bei za bidhaa zilipungua, bidhaa nyingi zilikuwa zinaagizwa toka nje; isitoshe wakati huo pesa yetu ilikuwa na nguvu kuliko ilivyokuwa wakati wa Mwinyi au Sasa wakati wa kikweteUkitumia Dmand and Supply ni kwamba Supply ikiwa kubwa kuliko Demnad automaticaly Price itakuwa chini make bidhaa sokoni zitakuwa nyingi sana, so si kweli kabisa kwamba bei kiushuka ni indicator ya Uchumi kuwa Mkubwa, Kuna factor nyingi sana zinazo weza fanya Bei kuwa ya Chini
1. Producer wa soda kuwa wengi sana hivyo kama nilivyo sema supply kuwa kubwa sana
2. Kuna Substute labda kwa sasa watu wanakunywa juice kwa wingi so ili kushindana inabidi soda bei iwe chini
3. Lower Purchasing powe, watu hawana pesa ya kununua soda na wanaichukulia kama anasa
4. Ghalama za uzalishaji kuwa Chini,
5. Transportation kuwa nzuri na kazalika
6. Local Curency kuwa na thamani kubwa sana dhidi ya Foreign Curency
Nchi kama USA bidhaa zake ni ghali sana pamoja na kuwa kiongozi katika uchumi wa Dunia, Na China bidhaa zake ziko bei ya Chini sana kutokana na Kushusha thamani ya pesa yao hivyo kufanya wanunuzi wanauo nunua kutoka China kununua kwa bei ya Chini
China ina encourage Export that is why wameshusha thamani ya pesa yao so kufanya Investers kuvutiwa kuwekeza kwa wingi sana nchini China kwa sababu Local curency iko Chini sana
ILA TUKUMBUKE KWAMBA KUSHUSHA THAMANI YA PESA YAKO KUNA KUWA NA FAIDA ENDAPO UHTAKUWA UNA IMPORT KUTOKA NJE, YAANI UNAKUWA NA LOW MATERIO ZA KUTOSHA,
Kwa Nchi kama Tazania kushusha Pesa yake thamani ni Msiba kwa Nchi kwa sababu tunaagiza kila kitu kutoka nje, na kwa sasa China wanafanya hivyo kwa sababu som time wanatumia pesa yao kununua kutoka nje wakati sisi ni USD
... Ceteris paribus
Kinachoshusha bei za bidhaa ni
1. Ushindani kuwa mkubwa
2. Gharama za uzalishaji kushuka
3. Kushuka kwa vipato na hitaji
4.sera za serikali za udhibiti bei
5. Ruzuku na kodi
6 uimara wa shilingi vs dola
Naomba kukuuliza, miongoni mwa viashiria vya kukua kwa uchumi (indicators of economic growth), je bei ya bidhaa ipo?
Jibu ni hivi, ikiwa kama hakuna uwekezaji katika sekta za kukuza uchumi, tusitarajie uchumi kukua.
Ikiwa kama bei ya bidhaa itashuka, huku bei za rasilimali zitapanda, hakuna uwekezaji.
Ikiwa kama bei ya bidhaa itashuka ili hali aggregate consuption haitopanda, kwa kuwa kipato halisi (real income) kimeshuka tusitarajie kukua kwa uchumi.
Endelea kuangalia viashiria vingine vya kukua kwa uchumi, kisha oanisha na bei ya bidhaa katika taifa.
Jitahidi kusoma vyema, Economics siyo somo gumu kwa ngazi ya sekondari.
"Ikitokea bei ya bidhaa imeshuka sana, uchumi wa nchi utakuwa umepanda au umeshuka? Na kwa nini?" Kwa mfano ikitokea soda imeshuka bei kutoka Tsh 700/- had Tsh 150/-.