Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeona mkuu, dawa yao ni kuwalamba tu, tena mtandaoSio kila kitu mnalaumu tu wana JF. Wanafunzi wanazingua sana mashuleni, wachache sana wanaokaza wengi wanaendekeza usela usiokua na tija. Wasichana ndio usiseme full kujiachia kama watu wazima. Sisi tumesoma kitambo tena bila hata hao waalimu na still tumetoka. Hayupo mtu wakuleta vidonge vya kukufanya ufaulu, hapo ni msuli wako tu darasani. Mashule meeeeeeeeeeeeeeengi then yamejaa vilaza tu. MWANAFUNZI HANA MALENGO, MZAZI HANA MIPANGO, UNATEGEMEA MWALIMU ATAFANYA NINI HAPO. Watoto wadogo wanakanda NGANO badala kuingia darasani, leo hii unategemea nini.