Wanafunzi Wanafeli kwa Uzembe wao - Waziri

Wanafunzi Wanafeli kwa Uzembe wao - Waziri

mkuu ni kweli haya matoto ya miaka hii ni majinga sana. kutwa yapo kwenye disko, runinga, ngono zembe na n.k unafikiri kuna ufaulu hapo?
 
Sio kila kitu mnalaumu tu wana JF. Wanafunzi wanazingua sana mashuleni, wachache sana wanaokaza wengi wanaendekeza usela usiokua na tija. Wasichana ndio usiseme full kujiachia kama watu wazima. Sisi tumesoma kitambo tena bila hata hao waalimu na still tumetoka. Hayupo mtu wakuleta vidonge vya kukufanya ufaulu, hapo ni msuli wako tu darasani. Mashule meeeeeeeeeeeeeeengi then yamejaa vilaza tu. MWANAFUNZI HANA MALENGO, MZAZI HANA MIPANGO, UNATEGEMEA MWALIMU ATAFANYA NINI HAPO. Watoto wadogo wanakanda NGANO badala kuingia darasani, leo hii unategemea nini.
umeona mkuu, dawa yao ni kuwalamba tu, tena mtandao
 
Changamoto kubwa ni mazingira ya ufundishaji na mazingira ya mwanafunzi mwenyewe atokako..utamwambia nini aelewe kama hajala akitoka akauze mwili ajikimu...kumbuka miaka ya zamani elimu ilivykuwa inatolewa hata kama unatoka familia duni vip ulikuwa unaweza kusoma na shule zilikuwa sawa zote..
 
Back
Top Bottom