mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
shule gani hizo, au labda sijaelewa hoja yakoShule wanazofundisha Advanced Mathematics kwa O-Level, wanaweza kwenda chuo direct kama kweli ni geniuses.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shule gani hizo, au labda sijaelewa hoja yakoShule wanazofundisha Advanced Mathematics kwa O-Level, wanaweza kwenda chuo direct kama kweli ni geniuses.
Ilikuwa inaitwa "Additional Maths", au wamebadili jina?Shule wanazofundisha Advanced Mathematics kwa O-Level, wanaweza kwenda chuo direct kama kweli ni geniuses.
Wamefaulu katika ngazi waliyotahiniwa! Masomo ya kidato cha sita yako juu sana kuliko kidato cha nne. Kidato cha sita kwa (tahasusi za sayansi) kila somo lazima ufanye mitihani isiyopungua miwili ili kupanua wigo wa kukupima! Masomo ya kidato cha nne baado sana kumpa sifa kwenda chuoNchi hii ina miujiza mingi sana
Nimeona shule moja ina watoto almost wote wamepata Division One Point 7
Mtoto anayepata distinction, straight 7 As, au kwa lugha nyingine mtoto ambaye ni A material, hapaswi kuachwa kwenye darasa ambalo analiweza.
Anapaswa apelekwe kwenye darasa ambalo litampa changamoto, bila kujali umri wake.
Tunasikia kwa wenzetu, mtoto wa miaka kumi na mbili (12years old) ana shahada ya uzamivu (PhD),
Kwanini hao watoto wasirushwe madarasa, wakafanye mitihani mingine ikiwa tunajua uwezo wao ni mkubwa, kwanini mnataka watoto wenye uwezo mkubwa kufanya mitihani hafifu na dhaifu kwao?
hawa watoto waende madarasa ya juu zaidi, ikiwezekana University waka stretch ubongo wao
Vinginevyo mtuambie kwamba hao watoto wanakariri, hawana uwezo wa kiakili.
Additional mathematics unalinganisha na advanced mathematics???Shule wanazofundisha Advanced Mathematics kwa O-Level, wanaweza kwenda chuo direct kama kweli ni geniuses.
Sema nini, WANI za siku hizi zina maajabu sana. Hebu angalia matokeo haya hapa chini...Nchi hii ina miujiza mingi sana
Nimeona shule moja ina watoto almost wote wamepata Division One Point 7
Mtoto anayepata distinction, straight 7 As, au kwa lugha nyingine mtoto ambaye ni A material, hapaswi kuachwa kwenye darasa ambalo analiweza.
Anapaswa apelekwe kwenye darasa ambalo litampa changamoto, bila kujali umri wake.
Tunasikia kwa wenzetu, mtoto wa miaka kumi na mbili (12years old) ana shahada ya uzamivu (PhD),
Kwanini hao watoto wasirushwe madarasa, wakafanye mitihani mingine ikiwa tunajua uwezo wao ni mkubwa, kwanini mnataka watoto wenye uwezo mkubwa kufanya mitihani hafifu na dhaifu kwao?
hawa watoto waende madarasa ya juu zaidi, ikiwezekana University waka stretch ubongo wao
Vinginevyo mtuambie kwamba hao watoto wanakariri, hawana uwezo wa kiakili.
😁😁😁Hivi BAM na additional mathematics utofauti ni mkubwa sana au ni kitu kimojaAdditional mathematics unalinganisha na advanced mathematics???
Wapelekwe shule serikali A level ndio utajua miujiza hahahNchi hii ina miujiza mingi sana
Nimeona shule moja ina watoto almost wote wamepata Division One Point 7
Mtoto anayepata distinction, straight 7 As, au kwa lugha nyingine mtoto ambaye ni A material, hapaswi kuachwa kwenye darasa ambalo analiweza.
Anapaswa apelekwe kwenye darasa ambalo litampa changamoto, bila kujali umri wake.
Tunasikia kwa wenzetu, mtoto wa miaka kumi na mbili (12years old) ana shahada ya uzamivu (PhD),
Kwanini hao watoto wasirushwe madarasa, wakafanye mitihani mingine ikiwa tunajua uwezo wao ni mkubwa, kwanini mnataka watoto wenye uwezo mkubwa kufanya mitihani hafifu na dhaifu kwao?
hawa watoto waende madarasa ya juu zaidi, ikiwezekana University waka stretch ubongo wao
Vinginevyo mtuambie kwamba hao watoto wanakariri, hawana uwezo wa kiakili.
Miaka ya hivi karibuni, mtoto kufeli ni yeye tu kutokua makini na kupangilia muda.hao wanaopata phd at 12, ni prodogies, ni wachache sana, sana.
kupata I 7 hakuna upekee, ni jambo rahisi mno.
kwa mtu anayehitaji kusoma STEM ni vizuri aende advance akapate misingi ya fizikia na hesabu ambayo ni muhimu mno
fizikia na hesabu za o-level ni cha mtoto
Enzi zetu ilikuwa ni "Pure and Applied Mathematics".Ilikuwa inaitwa "Additional Maths", au wamebadili jina?
Wanafunzi wote wa div 1 na div 2 wanatakiwa kwenda vyuoni moja kwa moja....sema ccm ni wapumbavuNchi hii ina miujiza mingi sana
Nimeona shule moja ina watoto almost wote wamepata Division One Point 7
Mtoto anayepata distinction, straight 7 As, au kwa lugha nyingine mtoto ambaye ni A material, hapaswi kuachwa kwenye darasa ambalo analiweza.
Anapaswa apelekwe kwenye darasa ambalo litampa changamoto, bila kujali umri wake.
Tunasikia kwa wenzetu, mtoto wa miaka kumi na mbili (12years old) ana shahada ya uzamivu (PhD),
Kwanini hao watoto wasirushwe madarasa, wakafanye mitihani mingine ikiwa tunajua uwezo wao ni mkubwa, kwanini mnataka watoto wenye uwezo mkubwa kufanya mitihani hafifu na dhaifu kwao?
hawa watoto waende madarasa ya juu zaidi, ikiwezekana University waka stretch ubongo wao
Vinginevyo mtuambie kwamba hao watoto wanakariri, hawana uwezo wa kiakili.
Umenena vizuri. Huwezi kumtoa form four akasomee engineering chuo kikuu wakati hana hata foundation ya calculus atakwama maana kule wanaassume at least foundations za differential na integral calculus unazijua. Labda kwa masomo ya arts huenda ikawezekana.hao wanaopata phd at 12, ni prodogies, ni wachache sana, sana.