Wanafunzi wanaopata ufaulu wa Division One Point 7, kama hawakukariri wapelekwe University moja kwa moja

Si kwa utitiri huu wa div one skuizi kupata one is not big deal bwana ni rahisi sbb uelewa umeongezeka na hata hizi EM zimerahisisha...May be one day meza itapinduka hizo div one zitakuwa ndo idadi ya ajira za graduates mtaani
 
Wamefaulu katika ngazi waliyotahiniwa! Masomo ya kidato cha sita yako juu sana kuliko kidato cha nne. Kidato cha sita kwa (tahasusi za sayansi) kila somo lazima ufanye mitihani isiyopungua miwili ili kupanua wigo wa kukupima! Masomo ya kidato cha nne baado sana kumpa sifa kwenda chuo
 
Sema nini, WANI za siku hizi zina maajabu sana. Hebu angalia matokeo haya hapa chini...

1. Wa kwanza


2. Wa pili


Enzi zetu kulikuwa na masomo ukipata F, yaani utapigwa penati. Siku hizi wameondoa penati, matokeo yake zipo WANI zenye F ya kiswahili, kemia, hesabu na english. Wani haitakiwi kuwa na F ya somo lolote
 
Advance kumeiva mkuu masomo yake,utafananisha Chemistry ya o level na advance?
 
Shida mimi nilipenda matarcle mapema nikaambulie 4 yangu saafiii
 
Wapelekwe shule serikali A level ndio utajua miujiza hahah
 
Miaka ya hivi karibuni, mtoto kufeli ni yeye tu kutokua makini na kupangilia muda.
Materials yapo kama yote, ushindwe wewe tu. Majibu ya maswali unayapata kiwepesi zaidi tofauti na zamani.

Mitihani maswali yanajirudia kama ni kubadilika basi ni kidogo tu.

Ajabu watu wazima wa sasa ni kama wanawaonea wivu hawa madogo wa siku hizi jinsi wanafanya vizuri kwenye mitihani yao, acheni vijana wapete, enzi zilikua enzi za giza, kupata past papers ilikua kimbembe.
 
Hao wengi wao wanamaarifa ya ziada wanayofundishwa nyumbani Miaka 11 tayari mtu anacode ,kafanya mashindano chungu nzima ya math na phys duniani ndio ulinganishe na hawa wakariri sifa 5 za vishazi.
Kuna dogo wa Feza boys humu alikuwa kwenye top 10 na video yake iliwekwa humu namnukuuu " mitihani ya NECTA rahisi sana kama kuamka na kukuojoa" Hesabu anadai alifanya kwa dk 25 tu akazipata zooote.
 
Wanafunzi wote wa div 1 na div 2 wanatakiwa kwenda vyuoni moja kwa moja....sema ccm ni wapumbavu
 
Umenena vizuri. Huwezi kumtoa form four akasomee engineering chuo kikuu wakati hana hata foundation ya calculus atakwama maana kule wanaassume at least foundations za differential na integral calculus unazijua. Labda kwa masomo ya arts huenda ikawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…