Wanafunzi wanaosoma Tahasusi ya PCM wazidi kuongoza kitaifa katika matokeo ya kidato cha sita 2022

Thanks Mazinde Juu kwa elimu bora kwa binti zetu, namshukuru sana Mungu kwa matokeo ya binti yangu....am humbled!
Binti yangu amefaulu jwa phyz E, Maths D na Chem D. Anaweza kupata chuo? Divisio 3.13
 
hata hii site tunayotumia bila PCM isingekuwepo ...joking..naona Tabora boys/Girls zinarejea jamani ...hata mzumbe wamepitwa wakati ndio wanakuaga vinara kwa form 6 miaka ya nyuma
 
Tunataka mikoa Bora sasa mambo yamebadilika hao mazinde juu wamefufuka
 
Mwanangu wa kike HGL kafaulu DCC div II .10 respectively wajuvi wa mambo kozi zinazomfaa tafadhali ili tujipange maana mambo magumu

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…