Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 684
Tupo hatuna mbele wala nyuma!baada ya form6 hakuna aliyefanya evaluation kama lengo la special schools lilifanikiwa au?tatizo tz hakuna mfumo wa kueleweka wa elimu
Kumbe mliwaburuza baadhi? Hao labda walilewa na maisha ya chuo...but all in all walikuwa wanafaulu vizuri.aaa tulikutana nao chuo kikuuu na wenine tukawaburuza ...hakuna kijapi wala nini
hivi ebu tumieni akili kidogo hao walioitwa special [talented] walikuwa special kati ya wajinga wale wakutupwa, ni wazi kuwa hawawezi kufika mbali wala kufanya mapinduzi yoyote ndo mana tunalia na matatizo kila kukicha. tena wengine wamezidiwa na wale wajinga [vilaza] kimaendeleo. ni aibu kusema ulikuwa special.
Tupo mkuu, mie nilikuwa Ilboru kweli hatuna mbele wala nyuma, isitoshe tulikuwa tunatafuniwa kila kitu, nilipofika chuo (udsm) nilitamani tujengewe chuo chetu, pale FOE (FACULTY OF ENGINEERING) shule ilikuwa ngumu mno, wengi tulikula disco wakatupotezea, najuta kusoma special skul, tupo tupo tu .....