Wanafunzi wenye vipaji maalum!!!

Wanafunzi wenye vipaji maalum!!!

Tupo hatuna mbele wala nyuma!baada ya form6 hakuna aliyefanya evaluation kama lengo la special schools lilifanikiwa au?tatizo tz hakuna mfumo wa kueleweka wa elimu

hatuna historia ya kutunza mafanikio katika kila kitu ndo tatizo letu.
 
aaa tulikutana nao chuo kikuuu na wenine tukawaburuza ...hakuna kijapi wala nini
Kumbe mliwaburuza baadhi? Hao labda walilewa na maisha ya chuo...but all in all walikuwa wanafaulu vizuri.
 
hivi ebu tumieni akili kidogo hao walioitwa special [talented] walikuwa special kati ya wajinga wale wakutupwa, ni wazi kuwa hawawezi kufika mbali wala kufanya mapinduzi yoyote ndo mana tunalia na matatizo kila kukicha. tena wengine wamezidiwa na wale wajinga [vilaza] kimaendeleo. ni aibu kusema ulikuwa special.
 
hivi ebu tumieni akili kidogo hao walioitwa special [talented] walikuwa special kati ya wajinga wale wakutupwa, ni wazi kuwa hawawezi kufika mbali wala kufanya mapinduzi yoyote ndo mana tunalia na matatizo kila kukicha. tena wengine wamezidiwa na wale wajinga [vilaza] kimaendeleo. ni aibu kusema ulikuwa special.

yeah walikuwa special in sort of ways kama KUTOBOA,KUMEZA CHAND ZOTE NA KUWAZA KUSOMA UHANDISI.tatizo la wabongo hatupendi kukubali ukweli kuwa kuna tofauti ya bright na genious(hawa ndio special na mara nyingi wanapendelea kudevelop vitu vyao kupitia theories za watu waliopita na kuzifanyia maboresho na kutoa kitu kipya chenye maslahi kwa jamii).Sasa leo unaziita hizo shule 5 ni special school? Kuna nini cha tofauti na hizi za kata? Serikali haijafanya cha maana katika elimu halafu kuna MIJITU inasifia shule za serikali,kama sikosei na nyinyi ni magamba.Tangu enzi hizo shule hizo zilikuwa za kawaida au mnataka kusema GAMBA KUU ni kipaji? Maana alisoma moja kati ya hizo shule.
 
Tupo mkuu, mie nilikuwa Ilboru kweli hatuna mbele wala nyuma, isitoshe tulikuwa tunatafuniwa kila kitu, nilipofika chuo (udsm) nilitamani tujengewe chuo chetu, pale FOE (FACULTY OF ENGINEERING) shule ilikuwa ngumu mno, wengi tulikula disco wakatupotezea, najuta kusoma special skul, tupo tupo tu .....

Kijana umesoma ilboru mwaka/level gani?? utafuniwe na nani? Losujaki (Chief)? Shembilu? Are u kidding? Ilboru is among the best experiences in my life. If I were to turn back the time, I wouldn't change a single thing.
 
Back
Top Bottom