Umenena vyema mkuuKuna watu hawafungi na wengine si wa dini hiyo hujumuika kwenye karamu ya kula futari inayoandaliwa na matajiri hao. Wakati mwingine mlo huu wa funga uandaliwe kwa masikini tu na wasiojiweza nao wajumuike kwenye iftar hiyo maalumu kipindi hichi cha mfungo. Matajiri kufuturishana ni ufahari na anasa tupu, ni starehe, hakuna ibada hapo
Masikini kushinda njaa kwa jina la Mfungo ni ujinga wake mwenyewe, acha vidonda vya tumbo viwanyooshe labda akili zitawakaa.Umekuja fashion ya kufuturisha
Wanaalikana matajiri tu
Yaani Rais anafutarisha labda Mawaziri tu na watu maarufu wakiwamo watu wa Imani zingine ambao hawafungi
Kuna watoto yatima,.wazee, na waliowahitaji hasa
Yaani anafuturisha wasio wahitaji
Dini inasemaje kuhusu kufuturisha wasio funga na matajiri
Au Bado mnahadili bomu ya Iran