Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,216
- 1,680
Hakuna anaeielewa serikali vizuri.but makonda is man to watch in Tz wajua the guy already understands the government system very well, kwa siasa watu kama hawa ndio that rise to become powerful people kama ma Rais. ata uku Kenya si Unaona vile Ruto uwa analia.
Ila jamaa linapenda kubambiwa hatari...eti ndo vita dhidi ya ubasha huuu!!View attachment 925817
Uyu jamaa na Ruto are quite similar, and am sure their thinking is the same, ni vile tu the stage is different but the actors are the same. nakumbuka Ruto akiwa naibu waziri enzi za Moi he was more powerful than ministers and even more vocal. this guy is the same utadhani after Maghufuli he is the second most powerful person. alafu Pia he is Young he has time on his side, niamini uyu atakuja kunyoosha TZ vilivyo waache kupinda. Ata hii unaona wanalia lia kwa kanisa na kujaribu kutumia dini kwenye malengo yao wote ni sawa lengo lao moja, kuwa rais kwa njia yeyote.Kwa kweli ukimskliza Ruto wakati anahojiwa, jamaa yuko poa sana upstairs, halafu pia hata huyo Makonda ipo siku nilitazama akihojiwa kwenye studio, sikuamini jamaa anazo akili kiasi hicho, alikua anajieleza hadi basi.
Unachoongea ni sahihi kabisa, Makonda yupo vizuri sana kiutendaji na anafanya kazi kweli. Tatizo letu huku Bongo wengi wanafiki watu wanamchukia makonda bila sababu.Uyu jamaa na Ruto are quite similar, and am sure their thinking is the same, ni vile tu the stage is different but the actors are the same. nakumbuka Ruto akiwa naibu waziri enzi za Moi he was more powerful than ministers and even more vocal. this guy is the same utadhani after Maghufuli he is the second most powerful person. alafu Pia he is Young he has time on his side, niamini uyu atakuja kunyoosha TZ vilivyo waache kupinda
Wajua kumchukia mtu haitoshi, kwanza wale watu wanachukiwa wako katika nafasi kubwa sana kuja kutawala,maana hao wana wafuasi sugu sana na mpango wao wa kutumia dini na utamaduni unaambatana vizuri na watu walio komaa ambao ndio wapiga kura wengi. utakuta vijana labda hawampendi lakini vijana kwa kawaida uwa hawapigi kura,kazi yao ni kulalamika tu kwa social media bure.Unachoongea ni sahihi kabisa, Makonda yupo vizuri sana kiutendaji na anafanya kazi kweli. Tatizo letu huku Bongo wengi wanafiki watu wanamchukia makonda bila sababu.
#DG
Whats happening here really? Enyewe Tanzania imeingia ligi ya North Korea ila kwa umasikini Tanzania ni wa kutupwa.
hii sasa hatari sana, wanaweza kuwa walitekwa na ngenge lile lilimteka billionare Mo? could be a parallel rogue security teamMsemaji wa uhamiaji amesema hawana habari kuwahusu, yaani hatari sana ina maana wametekwa kama ikiwa hakuna taasisi ya serikali inajua walipo. Tanzania inazidi kuwa sehemu hatari sana, ukivuka mpaka kuingia yaani siku ukitoka salama shukuru Mungu sana.
Tanzania’s immigration authorities speak out on ‘arrested’ CPJ
Inanikumbusha Nchi ya Myanmar, kule wageni na wanahabari wanaishi kwa hofu hujui ni lipi litakupata kwenye pilka pilka zako za kila siku huenda utatamka neno likatosha kukuweka korokoroni bila hata ufuataji wa sheria.Msemaji wa uhamiaji amesema hawana habari kuwahusu, yaani hatari sana ina maana wametekwa kama ikiwa hakuna taasisi ya serikali inajua walipo. Tanzania inazidi kuwa sehemu hatari sana, ukivuka mpaka kuingia yaani siku ukitoka salama shukuru Mungu sana.
Tanzania’s immigration authorities speak out on ‘arrested’ CPJ
Hatutaki umalaya. Tanzania sio nchi ya kindezindezi
Watanzania mda mwingine tunazingua hadi kero, toooo much harmful, Kenya nilikuwa naingia kama vile nipo Tanzania bila kusumbuliwa vibali wala kuhofia maisha yangu,
Lakini sasa hivi kwenda tu boda ya Namanga sikanyagi tena kuhofia usalama wangu, Diplomasia ya hizi nchi mbili ulisha potea kabisa, tunaishi tu kiunafiki.....
Tanzania sisi ni wanafikiiii namba moja Africa na ya pili Duniani kwa Unafiki....
Soma historia ya Malema hajawahi kupata 0+ na jina analotumia ni lake kabisa. Usimfananishe Malema na huyo Master wa Dudubaya.😀😀 eti wanaogopa wazungu? ki vipi RC Makonda na Rais Maghufuli hawatambui ilo, kusema ukweli nampenda uyu Jamaa Makonda, i think ndiye Malema wa uku mashariki.
Kumwaga machozi ndiyo silaha yake kubwa akiona amebanwa, tena hukimbilia kumwaga machozi yake kanisani...Tatizo hukurupuka halafu akigeuziwa kibao analia machozi, Makonda anapenda kulia sana jamaa.
but makonda is man to watch in Tz wajua the guy already understands the government system very well, kwa siasa watu kama hawa ndio that rise to become powerful people kama ma Rais. ata uku Kenya si Unaona vile Ruto uwa analia.
Kenya imetulia sana sikuizi.Tangu Moi aondoke majirani wetu wanadhani wanaweza cheza na Kenya. Majirani wamegundua uhuru ni mtu mpole hawezi fanya Kitu ju ya democrasia. Endeleeni Kuchokoza Simba, mtapata mnacho tafuta. And trust me you won't like it[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]