Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,216
- 1,680
Hakuna anaeielewa serikali vizuri.but makonda is man to watch in Tz wajua the guy already understands the government system very well, kwa siasa watu kama hawa ndio that rise to become powerful people kama ma Rais. ata uku Kenya si Unaona vile Ruto uwa analia.
Ni suala la kutumika tu na muda wako unapoisha, unaondolewa kupisha wengine.