Wanahabari wa Tanzania bado sana aisee

Wanahabari wa Tanzania bado sana aisee

Buyaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
1,705
Reaction score
1,953
Msemaji wa serikali Msigwa kaita waandishi kutoa "ufafanuzi" wa serikali kuhusu mkataba wa bandari, alipomaliza akasema:

Kwa hiyo ndugu zangu naombeni muwaambie Watanzania dhamira ya serikali ni njema...... Mmenielewa ndugu zangu??

Waandishi wakaitikia ndioooo!
 
Waandishi na watangazaji ambao kutwa nzima wanaliga picha na Wanasiasa? Mtabgazaji kama Maulidi Kitenge kutwa nzima mara yuko kwa Spika, mara kwa Mwinyo mara yuko sijui na nani
 
Back
Top Bottom