W.a.s.e.ngeee hao wachambuz maandazKina Jemedari Saidi na Jeof Lea, wanapost mziki wa Simba kama sio wao waliosema Simba ni underdog hafiki mbali.
Ajabu mm huwa na washangaa hawa wachambuzi suruari..baada ya kuona vita ka bondwa manne eti sasa wanasema vita hii sio ile ya zaman eti hawa sasa hawaja changamka na wanadiriki kwenda mbali zaidi wakidai eti soka la congo lime poromoka eti wana sema itazame Tp mazembeBaadhi ya wanaHabari na Wachambuzi wa soka kuelekea mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, waliosema As Vita Club ni hatari sana wakiwa viwanja vya ugenini, hatimaye sasa wameufyata mkia baada ya kipigo cha mabao 4-1 na kufuzu hatua ya robo fainali kwa kishindo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.
Walisema baadhi ya nukuu zao "As Vita Club msimu huu ni hatari wakiwa ugenini kuliko wakiwa kwenye dimba lao, katika mechi 4 ambazo wamecheza kwenye hatua ya makundi wamecheza vizuri sana na wamefanikiwa kupata alama 4 ambazo wamezipata kwenye viwanja vya ugenini hivyo wana nafasi ya kuibuka na ushindi". Walisema.
Nyie... Nyie waandishi na Wachambuzi kwanini hamkuipa haki yake Simba SC? Hizo rekodi mbona Simba anazo, amekusanya alama 4 ugenini, Simba SC ni Klabu Kubwa na Bora Afrika, acheni kuichukulia poa, Simba SC ni Next Level, anakufunga na anakupigia mpira mwingi uwanjani (BIRIANI), haya sasa mmeufyata kwa Simba SC.
AS Vita Club amefedheheshwa mno amepingwa nje ndani na kufurushwa kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika.View attachment 1742430
Walitaka wajadiliwe ,Sisi Simba tukawapuuza ,wapumbafu wale ,kile siku kuipa tishio Simba , wachambuzi uchwara Walikua wanasema Simba Aina beki Imara ,na mashabiki wa Simba tulitaka kuingia katika maneno yaoKina Jemedari Saidi na Jeof Lea, wanapost mziki wa Simba kama sio wao waliosema Simba ni underdog hafiki mbali.
Tutawakalisha tu mafirauni mwaka wetu huu.Mechi yetu ya mwisho ,tukawapige waaarabu ,tuweke rekodi vizuri
tulipe kisasiMechi yetu ya mwisho ,tukawapige waaarabu ,tuweke rekodi vizuri
Walisema mengi hadi kufikia kusema eti mabeki wa Simba SC hawana mbio sasa nashindwa hata kuelewa Simba tumesajili wachezaji kwa ajili ya mpira au kushiriki mbio za Marathon!![emoji2957]Walitaka wajadiliwe ,Sisi Simba tukawapuuza ,wapumbafu wale ,kile siku kuipa tishio Simba , wachambuzi uchwara Walikua wanasema Simba Aina beki Imara ,na mashabiki wa Simba tulitaka kuingia katika maneno yao
Walisahau pia simba ni hatari zaidi akiwa kwa mkapaBaadhi ya wanaHabari na Wachambuzi wa soka kuelekea mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, waliosema As Vita Club ni hatari sana wakiwa viwanja vya ugenini, hatimaye sasa wameufyata mkia baada ya kipigo cha mabao 4-1 na kufuzu hatua ya robo fainali kwa kishindo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.
Walisema baadhi ya nukuu zao "As Vita Club msimu huu ni hatari wakiwa ugenini kuliko wakiwa kwenye dimba lao, katika mechi 4 ambazo wamecheza kwenye hatua ya makundi wamecheza vizuri sana na wamefanikiwa kupata alama 4 ambazo wamezipata kwenye viwanja vya ugenini hivyo wana nafasi ya kuibuka na ushindi". Walisema.
Nyie... Nyie waandishi na Wachambuzi kwanini hamkuipa haki yake Simba SC? Hizo rekodi mbona Simba anazo, amekusanya alama 4 ugenini, Simba SC ni Klabu Kubwa na Bora Afrika, acheni kuichukulia poa, Simba SC ni Next Level, anakufunga na anakupigia mpira mwingi uwanjani (BIRIANI), haya sasa mmeufyata kwa Simba SC.
AS Vita Club amefedheheshwa mno amepingwa nje ndani na kufurushwa kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika.View attachment 1742430
Basi ingekuwa hivyo tungesajiri USAIN BOLT mkuu.😂Walisema mengi hadi kufikia kusema eti mabeki wa Simba SC hawana mbio sasa nashindwa hata kuelewa Simba tumesajili wachezaji kwa ajili ya mpira au kushiriki mbio za Marathon!![emoji2957]
Kweli kabisaTimu inacheza utadhani haitoki nchini TANZANIA..!
Saa hii wanaumia kimya kimya tu!! Wachambuzi uchwara!! Huyo mwenye jina la kike Lea alikandia Sana defence ya Simba!! Poleni utopolo!!Kina Jemedari Saidi na Jeof Lea, wanapost mziki wa Simba kama sio wao waliosema Simba ni underdog hafiki mbali.