WanaHabari waliosema AS Vita Club ni hatari wakiwa Ugenini Wameufyata kwa Simba SC

Tumeamka salama, tumshukuru Mungu

Jumapili ya leo Kamati ya Mapokezi wanatamani kuwa kama sisi lakini uwezo wao mdogo.

WanaSimba kwao wanafuraha sana baada ya kufuzu hatua ya robo fainali kwa kishindo.

Tuelewane lengo letu ni kufika nusu fainali kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika.

Tunakwenda hatua kwa hatua mpaka kieleweke.. NguvuMoja
 
Baadhi ya wanaHabari na Wachambuzi wa soka kuelekea mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, waliosema As Vita Club ni hatari sana wakiwa viwanja vya ugenini, hatimaye sasa wameufyata mkia baada ya kipigo cha mabao 4-1 na kufuzu hatua ya robo fainali kwa kishindo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Walisema baadhi ya nukuu zao "As Vita Club msimu huu ni hatari wakiwa ugenini kuliko wakiwa kwenye dimba lao, katika mechi 4 ambazo wamecheza kwenye hatua ya makundi wamecheza vizuri sana na wamefanikiwa kupata alama 4 ambazo wamezipata kwenye viwanja vya ugenini hivyo wana nafasi ya kuibuka na ushindi". Walisema.

Nyie... Nyie waandishi na Wachambuzi kwanini hamkuipa haki yake Simba SC? Hizo rekodi mbona Simba anazo, amekusanya alama 4 ugenini, Simba SC ni Klabu Kubwa na Bora Afrika, acheni kuichukulia poa, Simba SC ni Next Level, anakufunga na anakupigia mpira mwingi uwanjani (BIRIANI), haya sasa mmeufyata kwa Simba SC.

AS Vita Club amefedheheshwa mno amepingwa nje ndani na kufurushwa kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika.View attachment 1742430
Ajabu mm huwa na washangaa hawa wachambuzi suruari..baada ya kuona vita ka bondwa manne eti sasa wanasema vita hii sio ile ya zaman eti hawa sasa hawaja changamka na wanadiriki kwenda mbali zaidi wakidai eti soka la congo lime poromoka eti wana sema itazame Tp mazembe
Mara waseme hivi vioabu vya congo sasa ivi vimejikita kuuza wachezaji nje mara waseme oh ss ivi ivi vilabu vya congo vimejikita ktk ujenzi wa viwanja vya kisasa yaan wachambuzi wetu wana maneno mengiiiiiiiii (in baba Jesca voice)

Itoshe waelewe tu aliye bora ndiye ana pata nafasi na mwenye kisu kikali ndiye mla nyamaa
 
Kina Jemedari Saidi na Jeof Lea, wanapost mziki wa Simba kama sio wao waliosema Simba ni underdog hafiki mbali.
Walitaka wajadiliwe ,Sisi Simba tukawapuuza ,wapumbafu wale ,kile siku kuipa tishio Simba , wachambuzi uchwara Walikua wanasema Simba Aina beki Imara ,na mashabiki wa Simba tulitaka kuingia katika maneno yao
 
Walisema mengi hadi kufikia kusema eti mabeki wa Simba SC hawana mbio sasa nashindwa hata kuelewa Simba tumesajili wachezaji kwa ajili ya mpira au kushiriki mbio za Marathon!![emoji2957]
 
Baadhi ya wanaHabari na Wachambuzi wa soka kuelekea mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, waliosema As Vita Club ni hatari sana wakiwa viwanja vya ugenini, hatimaye sasa wameufyata mkia baada ya kipigo cha mabao 4-1 na kufuzu hatua ya robo fainali kwa kishindo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Walisema baadhi ya nukuu zao "As Vita Club msimu huu ni hatari wakiwa ugenini kuliko wakiwa kwenye dimba lao, katika mechi 4 ambazo wamecheza kwenye hatua ya makundi wamecheza vizuri sana na wamefanikiwa kupata alama 4 ambazo wamezipata kwenye viwanja vya ugenini hivyo wana nafasi ya kuibuka na ushindi". Walisema.

Nyie... Nyie waandishi na Wachambuzi kwanini hamkuipa haki yake Simba SC? Hizo rekodi mbona Simba anazo, amekusanya alama 4 ugenini, Simba SC ni Klabu Kubwa na Bora Afrika, acheni kuichukulia poa, Simba SC ni Next Level, anakufunga na anakupigia mpira mwingi uwanjani (BIRIANI), haya sasa mmeufyata kwa Simba SC.

AS Vita Club amefedheheshwa mno amepingwa nje ndani na kufurushwa kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika.View attachment 1742430
Walisahau pia simba ni hatari zaidi akiwa kwa mkapa
 
Kina Jemedari Saidi na Jeof Lea, wanapost mziki wa Simba kama sio wao waliosema Simba ni underdog hafiki mbali.
Saa hii wanaumia kimya kimya tu!! Wachambuzi uchwara!! Huyo mwenye jina la kike Lea alikandia Sana defence ya Simba!! Poleni utopolo!!
 
Back
Top Bottom