SI KWELI Wanahabari waliovujisha video ya Rais wa Sudan Kusini akijikojolea wauawa

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit alitokwa na mkojo iliyolowesha suruali yake wakati wa kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuzindua mradi mpya wa barabara, Jumanne Desemba 13, 2022.

Video ya tukio hilo ilisambaa na kukawa na uvumi kuwa waandishi waliokuwa na rais Kiir siku hiyo wameuawa na wengine wamekimbilia Kenya.

 
Tunachokijua
Mbali na Sudan Kusini kuwa na mazingira magumu ya wanahabari, waandishi waliokuwa na Rais hawajathibitishwa na mamlaka za nchi hiyo kuwa wamepotea.

Umoja wa Wanahabari wa Sudan Kusini walitoa waraka ukionesha kuwa hakuna muandishi aliyewekwa jela au kuuawa au kupotea baada ya tukio hilo kutokea.

Uchunguzi wa JamiiForums umebaini kuwa picha ya mtu aliyejinyonga ambayo inamtaja mtu huyo kuwa ni mwandishi aliyerekodi video ya Rais si sahihi. Mtu huyo alijinyonga mwezi Agosti 2022 hivyo hahusiki na taarifa inayonasibishwa naye na wala hakuwa mwandishi wa habari.
Duuh! Ila lilikuwa tukio la kusikitisha sana yaani.

Mbali na yote pia itakuwa funzo kwa viongozi wa Kiafrika hasa wale wenye uchu wa madaraka.
 
Makosa mawili kwenye post hii:-

1. Zimetajwa nchi mbili tofauti za Sudan na baadaye Sudan Kusini (South Sudan).

2. Muandishi badala ya Mwandishi.

Edit before you post any stuff.
 
Ameandika Julius Bukyana, Mhariri wa NBS TV ya nchini Uganda.
_________
"Baadhi ya waandishi walioripoti habari ya Rais Salva Kiir kujikojolea hadharani wakati akiimba wimbo wa taifa, wameanza kupotea na wengine miili yao kuokotwa wakiwa wamefariki. Mwili wa mwandishi mmoja wa gazeti la New Nation umeokotwa wikiendi iliyopita na mwandishi wa Juba Monitor hajulikani alipo. Jumuiya ya Afrika mashariki inapaswa kupaza sauti kwa majirani zetu hawa. Uandishi wa habari ni taaluma sio jinai"
 
Mkoloni mweusi ni worse kuliko mweupe, kisa cha kuua watu wakati umejikojolea mwenyewe ni nini hasa, mwisho wa viongozi waovu kama hawa ni kuburuzwa barabarani na wananchi wao huku wakikatwa masikio
 
KKojo lilijiponyosha jenyewe.
Mkoloni mweusi ni worse kuliko mweupe, kisa cha kuua watu wakati umejikojolea mwenyewe ni nini hasa, mwisho wa viongozi waovu kama hawa ni kuburuzwa barabarani na wananchi wao huku wakikatwa masikio
 
Na ww ukimaliza kuandika hii habari pia unastahili kuuwawa sbbu ni habari 1 ya mkojo
 
Mkoloni mweusi ni worse kuliko mweupe, kisa cha kuua watu wakati umejikojolea mwenyewe ni nini hasa, mwisho wa viongozi waovu kama hawa ni kuburuzwa barabarani na wananchi wao huku wakikatwa masikio
Si umeshaambiwa kuwa ni Fake News?.
 
kakojoa yeye anataka kumsingizia mtoto mdogo mchana kweupe
 
Maanina zake haya matakataka yanapenda sana kunangania madaraka ni Bora angejiarishia ule mharo mwembamba kama wa njano vile . Mijitu yanazeeka bado yanangangania tuu madaraka . Kuna hili Jirani naona linavaa diaper. Ndio maana nzi hawaishi EAST AFRICA M7 liende tuu .
 
So far sijaona mtu akilaani kitendo cha kupiga picha hiyo, let alone kuisambaza. Ni kipimo tosha cha laana tulikofika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…