JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Kama waandishi wa habari wakijiunga na chama cha siasa, ambayo ni haki yao kama raia, lazima waepuke kutumia nafasi yao kukinufaisha chama chao hasa kupigia debe misimamo inayochukuliwa na vyama vyao
Maazimio ya waandishi wa habari yanazuia kupotoka kwa kuwazuia waandishi wa habari ambao ni wanachama wa chama cha siasa au chama cha kitaaluma hususan kutoshiriki kuandika habari kuhusu chama hicho cha siasa au cha kitaaluma.
Upvote
0