Wanahabari watano wa Al Jazeera wauawa katika shambulio la Israel huko Gaza

Wanahabari watano wa Al Jazeera wauawa katika shambulio la Israel huko Gaza

N

Nyote pro Israel uku TZ ni propaganda dhidi ya Serikali ya CCM chini ya Rais Samia kisa tu muislamu
hata mm nawashangaa yani mnaunga mkono dhulma dhidi ya Palestine wanauwawa kama sisimizi kisa Mwarabu japo kuna Wakristo kibao wanakufa pale.

Uku Tanzania mnajidai watetezi wa haki na kulalamika uminywaji wa haki. ¿¿¿

Unafiki ndio zao kuu la walokole Wachungaji uwongo ndio msingi wa Dini yao.

Yesu anaponya viwete vipofu kumbe mchongo tu.

Viwete wamejazana kila kona lkn bado nyimbo iyoiyo inapigwa na waumini wanashangilia¿¿¿¿

kwanini uwongo upewe kipaumbele kwenye Dini tena waziwazi. ¿¿¿

Ndiomana leo mnashabikia vifo vya Wapalestina vichanga wamama.¿

Sababu Dini ujengwa kwa Ukweli sio uwongo uwongo kama Ukristo wa leo.

Na tatizo sio Tanzania tu ni Duniani kote Ukristo na uwongo uwongo ni ndugu moja.!!

Ndio mana kidunia UISLAM unakuwa kwa kasi kuliko Dini zote Sababu umejengwa kwenye misingi ya kweli sio uwongo kitoto.
Kichwa kimejaa funza kila kitu unaendekeza dini,akiambiwa hatakiwi dini akiambiwa aruhusu tume huru ya uchaguzi dini sijui ninyi huwa mnawaza kwa kutumia viungo gani,labda masaburi???
 
Shirika la habari la Al Jazeera limesema kuwa waandishi wake watano wameuawa katika shambulio la Israeli karibu na Hospitali ya Al-Shifa mjini Gaza

Miongoni mwa waliouawa ni waandishi Anas al-Sharif na Mohammed Qreiqeh, pamoja na wapiga kamera Ibrahim Zaher, Mohammed Noufal na Moamen Aliwa. Walikuwa kwenye hema la waandishi wa habari lililoko lango kuu la hospitali hiyo wakati liliposhambuliwa, kwa mujibu wa taarifa ya Al Jazeera

Shirika hilo limesema shambulio hilo la Jumapili lililolenga moja kwa moja lilikuwa “tendo jingine la wazi na la makusudi la kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari.”

Muda mfupi baada ya shambulio hilo, Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilithibitisha kuwa limemlenga Anas al-Sharif, likiandika kwenye ukurasa wake wa Telegram kwamba alikuwa “kiongozi wa kundi la wapiganaji wa Hamas.”

IDF haikutaja chochote kuhusu waandishi wa habari waliouawa.

====
Five Al Jazeera journalists killed in Israeli strike in Gaza

Five Al Jazeera journalists have been killed in an Israeli strike near Gaza City's Al-Shifa Hospital, the broadcaster has said.

Correspondents Anas al-Sharif and Mohammed Qreiqeh, alongside cameramen Ibrahim Zaher, Mohammed Noufal and Moamen Aliwa were in a tent for journalists at the hospital's main gate when it was struck, Al Jazeera reported.

The "targeted assassination" on Sunday was "yet another blatant and premeditated attack on press freedom", it said in a statement.

Shortly after the strike, the Israel Defense Forces (IDF) confirmed that it had targeted Anas al-Sharif, writing in a Telegram post that he had "served as the head of a terrorist cell in Hamas".

The IDF did not mention any of the other journalists who were killed.

In total, seven people died in the strike, Al Jazeera reports. The broadcaster initially said that four of its staff had been killed, but revised it to five a few hours later.

Its managing editor, Mohamed Moawad, told the BBC that al-Sharif was an accredited journalist who was "the only voice" for the world to know what was happening in the Gaza Strip.

Throughout the war, Israel has not allowed international journalists into Gaza to report freely. Therefore, many outlets rely on local reporters within the territory for coverage.

"They were targeted in their tent, they weren't covering from the front line," Moawad said of the Israeli strike.

"The fact is that the Israeli government is wanting to silence the coverage of any channel of reporting from inside Gaza," he told The Newsroom programme.

"This is something that I haven't seen before in modern history."

Al-Sharif, 28, appeared to be posting on X in the moments before his death, warning of intense Israeli bombardment within Gaza City. A post that was published after he was reported to have died appears to have been pre-written and published by a friend.

In two graphic videos of the aftermath of the strike, which have been confirmed by BBC Verify, men can be seen carrying the bodies of those who were killed.

Some shout out Qreiqeh's name, and a man wearing a media vest says that one of the bodies is that of al-Sharif.

In its statement, the IDF accused al-Sharif of posing as a journalist, and being "responsible for advancing rocket attacks against Israeli civilians and IDF troops".

It said it had previously "disclosed intelligence" confirming his military affiliation, which included "lists of terrorist training courses".

Last month, the Al Jazeera Media Network - along with the United Nations and the Committee to Protect Journalists (CPJ) - issued separate statements warning that al-Sharif's life was in danger, and calling for his protection.

Jodie Ginsberg, chief executive of the CPJ, told the BBC that Israeli authorities have failed to provide evidence to show that the journalists they killed were terrorists.

"This is a pattern we've seen from Israel - not just in the current war, but in the decades preceding - in which typically a journalist will be killed by Israeli forces and then Israel will say after the fact that they are a terrorist, but provides very little evidence to back up those claims," she said.

This is not the first time the IDF has targeted and killed Al Jazeera journalists in Gaza, who they claimed were Hamas-affiliated.

In August last year, Ismael Al-Ghoul was hit by an air strike as he sat in his car - harrowing video shared on social media showed his decapitated body. Cameraman Rami al-Rifi and a boy passing on a bicycle were also killed.

In al-Ghoul's case, the IDF said he took part in Hamas' 7 October 2023 attacks against Israel, a claim Al Jazeera strongly rejected.

According to the CPJ, 186 journalists have been confirmed killed since the start of Israel's military offensive in Gaza in October 2023.

For the journalists still in Gaza, the situation is dire. As well as air strikes, there is the threat of starvation.

Last month, the BBC and three news agencies - Reuters, AP and AFP - issued a joint statement expressing "desperate concern" for journalists in the Strip, who they say are increasingly unable to feed themselves and their families.

Three freelancers whom the BBC relies on for its coverage said they often go days without eating, and one collapsed during filming.

More than 100 international aid organisations and human rights groups have warned of mass starvation in Gaza. Israel, however, which controls the entry of aid supplies into Gaza, has accused the charities of "serving the propaganda of Hamas".

Israel launched its offensive in response to the Hamas-led attack on southern Israel on 7 October that year, in which about 1,200 people were killed and 251 others were taken hostage.

More than 61,000 people have been killed in Gaza since the Israeli military operation began, according to the territory's Hamas-run health ministry.

Source: BBC
Naoma kuna mwananzengo mmoja kabeba jeneza katupia kitu cha GUCCI
 
Wapumzike kwa amani Marehemu wote,hakuna lililo na mwanzo likakosa mwisho,kila kitu kina mwisho haya pia yataisha.
 
Yaani
Wewe punguani kweli Gaza ni gereza la wazi toka 1948 inashangaza sana nyie walokole kufurahi mauaji ya watoto.
waarabu wa Gaza wanakuuma kuliko wadengeleko wenzio!
Inasikitisha sana!
 
Gaidi hilo na ushahidi umetolewa
Mashoga peke yao ndiyo wanaamini propaganda za Israel.
Soma hii wewe punguani.

Mkurugenzi Mtendaji wa CPJ, Bi Jodie Ginsberg, aliliambia BBC kuwa mamlaka za Israel zimeshindwa kuwasilisha ushahidi wa kuthibitisha madai yao kuwa waandishi waliouawa walikuwa magaidi.
“Huu ni mwenendo ambao tumeushuhudia kutoka Israel si katika vita vya sasa pekee, bali kwa miongo kadhaa iliyopita ambapo mara kwa mara mwandishi huuawa na baadaye Israel hudai kuwa alikuwa gaidi, lakini bila kutoa ushahidi wa kutosha kuunga mkono madai hayo,” alisema.
Hili si tukio la kwanza ambapo waandishi wa Al Jazeera wamelengwa na kuuawa na Jeshi la Israel kwa madai ya kuhusika na Hamas.
Mnamo Agosti mwaka jana, Ismael Al-Ghoul aliuawa katika shambulio la anga akiwa ndani ya gari lake.
Video ya kutisha iliyosambaa mitandaoni ilimuonesha akiwa amepoteza kichwa.
Mpiga picha Rami al-Rifi na mvulana mmoja aliyekuwa akipita kwa baiskeli pia waliuawa katika tukio hilo.
Katika kisa hicho, IDF ilidai kuwa Al-Ghoul alihusika katika mashambulizi ya Hamas dhidi ya Israel yaliyofanyika tarehe 7 Oktoba 2023 madai ambayo Al Jazeera ilikanusha vikali.
Kwa mujibu wa CPJ, waandishi wa habari 186 wamethibitishwa kuuawa tangu kuanza kwa mashambulizi ya kijeshi ya Israel dhidi ya Gaza mnamo Oktoba 2023.
 
Wakimbie waende wapi? Kila mtu hawataki ndio maana wamerundikana Gaza
We kenge kila kukicha mnawabembeleza waondoke Gaza mmeisha wapangia wapi waende wengine Europe wengine nchi za kiarabu lakini hawataki kuondoka.
 
Unashikiwa akili na propaganda za mabwana zako, Israel wameishawaua waandishi wa habari za Al Jazira zaidi ya 200 Gaza hata Punda wanauliwa tunaambiwa ni Hamas.
Grand Ayatollah Ritz Huyu Anas Al Sharif alikuwa Gaidi tu.Angalia comments zake hiyo October,7 .Na Picha zake yupo na magaidi wa Hamas Sasa ulitaka aachwe tu?Mshahara wa dhambi ni mauti!Mwache tu akajipatie hao wanawali bikra 72 huko jongomeo 🤔
FB_IMG_1754942812815.jpg
 
Back
Top Bottom