Wanahabari watano wa Al Jazeera wauawa katika shambulio la Israel huko Gaza

Kichwa kimejaa funza kila kitu unaendekeza dini,akiambiwa hatakiwi dini akiambiwa aruhusu tume huru ya uchaguzi dini sijui ninyi huwa mnawaza kwa kutumia viungo gani,labda masaburi???
 
Naoma kuna mwananzengo mmoja kabeba jeneza katupia kitu cha GUCCI
 
Wapumzike kwa amani Marehemu wote,hakuna lililo na mwanzo likakosa mwisho,kila kitu kina mwisho haya pia yataisha.
 
Yaani
Wewe punguani kweli Gaza ni gereza la wazi toka 1948 inashangaza sana nyie walokole kufurahi mauaji ya watoto.
waarabu wa Gaza wanakuuma kuliko wadengeleko wenzio!
Inasikitisha sana!
 
Gaidi hilo na ushahidi umetolewa
Mashoga peke yao ndiyo wanaamini propaganda za Israel.
Soma hii wewe punguani.

Mkurugenzi Mtendaji wa CPJ, Bi Jodie Ginsberg, aliliambia BBC kuwa mamlaka za Israel zimeshindwa kuwasilisha ushahidi wa kuthibitisha madai yao kuwa waandishi waliouawa walikuwa magaidi.
β€œHuu ni mwenendo ambao tumeushuhudia kutoka Israel si katika vita vya sasa pekee, bali kwa miongo kadhaa iliyopita ambapo mara kwa mara mwandishi huuawa na baadaye Israel hudai kuwa alikuwa gaidi, lakini bila kutoa ushahidi wa kutosha kuunga mkono madai hayo,” alisema.
Hili si tukio la kwanza ambapo waandishi wa Al Jazeera wamelengwa na kuuawa na Jeshi la Israel kwa madai ya kuhusika na Hamas.
Mnamo Agosti mwaka jana, Ismael Al-Ghoul aliuawa katika shambulio la anga akiwa ndani ya gari lake.
Video ya kutisha iliyosambaa mitandaoni ilimuonesha akiwa amepoteza kichwa.
Mpiga picha Rami al-Rifi na mvulana mmoja aliyekuwa akipita kwa baiskeli pia waliuawa katika tukio hilo.
Katika kisa hicho, IDF ilidai kuwa Al-Ghoul alihusika katika mashambulizi ya Hamas dhidi ya Israel yaliyofanyika tarehe 7 Oktoba 2023 madai ambayo Al Jazeera ilikanusha vikali.
Kwa mujibu wa CPJ, waandishi wa habari 186 wamethibitishwa kuuawa tangu kuanza kwa mashambulizi ya kijeshi ya Israel dhidi ya Gaza mnamo Oktoba 2023.
 
Wakimbie waende wapi? Kila mtu hawataki ndio maana wamerundikana Gaza
We kenge kila kukicha mnawabembeleza waondoke Gaza mmeisha wapangia wapi waende wengine Europe wengine nchi za kiarabu lakini hawataki kuondoka.
 
Mbona Sasa yanalialia yakilambishwa mchanga? Yatulie tu na kufurahia. Siku hizi hayakati mauno tena hadharani. IDF endelea kulambisha mchanga hayo mauumbwaa Maamae.

God bless and protect Israel

adriz
We kenge kuna wanawake wakanisa wanatafuta viuno vya wanaume we zubaa tu.
 
Unashikiwa akili na propaganda za mabwana zako, Israel wameishawaua waandishi wa habari za Al Jazira zaidi ya 200 Gaza hata Punda wanauliwa tunaambiwa ni Hamas.
Grand Ayatollah Ritz Huyu Anas Al Sharif alikuwa Gaidi tu.Angalia comments zake hiyo October,7 .Na Picha zake yupo na magaidi wa Hamas Sasa ulitaka aachwe tu?Mshahara wa dhambi ni mauti!Mwache tu akajipatie hao wanawali bikra 72 huko jongomeo πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…