Wanahabari watano wa Al Jazeera wauawa katika shambulio la Israel huko Gaza

Hakuna kubembelezana na magaidi. Kazi iendelee
 
Kichwa kimejaa funza kila kitu unaendekeza dini,akiambiwa hatakiwi dini akiambiwa aruhusu tume huru ya uchaguzi dini sijui ninyi huwa mnawaza kwa kutumia viungo gani,labda masaburi???
Twende kwa hoja upo tayali ?
 
Chadema na vyama vengine kwenye Uchaguzi wa 2015 mbona walipata wabunge seem nyingi ukiwemo mkoa wa Dar es salaam

Majimbo mengi yalichukuliwa pamoja na Udiwani kutoka CCM chini ya Ukawa kiasi Meya ikabidi atoke pia upinzani toka tupate Uhuru tukio la kwanza kutokea kupata Meya wa upinzani jiji la Dar

majimbo mengi ya mkoa huu yalikwenda Chadema pamoja Cuf Udiwani.

Arusha na. Moshi uko kote wapinzani walizoa viti vingi vya Ubunge na Udiwani Mbeya naTarime kusini pia. Nk.

1) Sasa wajibu wasomaji sio mimi. Tume ya Uchaguzi ilikuwa ipi kipindi kile sio hii tunayo leo????

2) Kosa la tume ya Uchaguzi lipi kwako na uwelewa wako???

Hoja Je ni Chadema ndio wamegomea tume ya Uchaguzi au ni mtu mmoja !!!

tangu yeye kuchaguliwa Mwenyekiti wa Chadema ndio kaja na no no no. Kiasi sasa wana Chadema OG wanakiama chama chao uku wanalia baada ya kuvamiwa na muhuni kutoka Ubelgiji kaja tumbo wazi shati lake kawacha uko uko kwa Wazungu ยฟยฟยฟยฟ

ni mtu mmoja tu ndio Serikali ulitaka isimamishe Uchaguzi na kufukuza tume ya Uchaguzi ยฟยฟยฟ

Kwako Lisu lazima yeye ndio awe Mshindi ndio Demokrasia kwako ya kilokole !!

unajua Lisu kashapiga hesabu Uchaguzi wa 2025 ni ngumu kutoboa wewe unajua kwann jibu??

Mimi ninachogua kapiga hasabu CCM imeshinda %98 Uchaguzi wa Serikali za mitaa TZ wapinzani wote wana %2. !!!

Mbaya Zaid. Uchaguzi wa Serikali za mtaa uliofanyika mwaka jana 2024 kabla Uchaguzi kufanyika tayali CCM ilishashinda %65 !!

unajua kwann. Yani wapinzani sehemu kubwa ya chaguzi hawakuweka wagombea !!

wamekosa wagombea zipo seem chache tu kulitokea pingamizi lkn kiujumla Upinzani Tanzania bado wana BET !!

yani wanatafuta sehemu kwenye upinzani kidogo ndio wanaweka mgombea na nguvu zao !!

manake sehemu ambazo hakuna viashilia vya upinzani uko CCM wanajipitia wenyewe ndio iyo %65 kwa hesabu yako Lisu ulitegemea hashinde kwa vigezo vip ยฟยฟ.

CCM itashinda hata refa awe. MZUNGU !!!

Sababu wapinzani wapo sehemu chache tu za nchi Lisu kataka Uchaguzi usogezwe mbele ili akidai kutoa muda kuandaa Tume mpya ยฟยฟ

lengo lake sio ije Tume mpya lengo lake kuu kupiga mikelele kuwa Rais yupo kinyume na katiba yani Lisu lengo lake kuleta sintofaam kwenye Uchaguzi na apate sababu ya kupiga DOMO lake.

ni kama Fisi na mkono wa mwanadamu ๐Ÿ˜„ Ili ushinde ujipange wapinzani bado sana kupambania Urais wao wapo kwenye kubet kupata Ubunge na Udiwani,,

wkt Lisu lengo lake kuu apate Urais ili kuweza kuwasaka waliomsababishia ulemavu wa kudumu anajua Ubunge bado hatoweza kutimiza lengo lake.!!

Mnamvisha nguo za ukombozi mtu mwenyekushilikiana na Wazungu kwenye sekta ya rasilimali madini kisa CCM yupo muislamu ndio mnajiona akili kubwaยฟยฟยฟยฟ sisi tulimpigania pia rip JPM kwani alikuwa muislamu ยฟยฟ

Ushamba unawasumbua. Ukweli wapo vijana wa Chadema wengi ushamba wa Udini ushawatoka wanajielewa kwasasa !!

waliobaki ni vilokole vipya vya mwaka 2000+
 
WAISLAMU WA HAPA TANZANIA WANANISHANGAZA kwa mambo yafuatayo ambapo kamwe sitakuja kuuelewa msimamo wao juu ya pallestina.

1 .wanajifanya kuwa na uchungu sana na waarabu wa pallestina ambao pia ni dini moja na wao,HUKU WAKIWASAHAU SOMALIA NA SUDAN ambao pia ni waislamu wenzao na wa africa wenzao.

2.kama wana lengo la kutetea maovu duniani,inakuwaje hatujawahi kuwasikia hapa jukwaani wakitetea CONGO,SOMALIA,SUDAN ambao ni majirani zao na wa africa wenzao.,mpka hapa inaonekana wanachagua vitu vya kufatilia na kutetea.

CHARITY BEGINS AT HOME.
Hivyo kwa hizo point hapo juu ,hata siku moja watapiga kelele kuhusu sijui pallestina ila kwangu naona ni UNAFIKI tuu.
LIWALO NA LIWE
 
ๅกๅ•Š็œ‹ๆˆ‘้—ฎไฝ iๆ‹ฟๅ‡บๅ“ฆ็œ‹i้ฅญๅ‘€iไธปไปปๅ•Šๅ‘ƒไฝ ้‡Œuไบ†ๅ‘€ๅ˜›ใ€‚ๅ•Š้ขๅŒ…ใ€‚็‹ฌ็ซ‹ๅ•Šใ€‚ๆตทๅ†›ๅ•Šใ€‚ๆŒ–hiๅ“ญu็–ๅฟฝๅœฐๅ•Šใ€‚
 
Rekebisheni taarifa zenu hao hawakuwa waandishi wa habari hao walikuwa ni magaidi waliojificha chini ya mgongo wa waandishi wa Habari

Kuuwawa kwao ni furaha kwa wapenda Amani dunia na ni huzuni kwa magaidi wote na wanaowakumbatia nimekuwa niiangalia video ya ya Anas Al-Sharif wakati akichomeka kama mshikaki huku magaidi wenzake wakiuzima moto kwenye mapaja yake na wengine kumpiga Mabusu bashasha kwa kweli nimefurahi sana kwa magaidi kufa.

Anas Al-Sharif Oct 07,2023 alikuwa mstari wa mbele kutekeleza mauaji ya kutisha na sasa ni vizuri sana na wao wakaonja madhira waliyoyafanya kwa wananchi wa Israel na nimefurahi sana kwa ngome ya Wapiga Propaganda Dhidi ya Israel huko Aljazeera wanazidi kuangamizwa!!!
 

Attachments

  • IMG_3865.jpeg
    244.7 KB · Views: 21
  • IMG_3863.jpeg
    89.4 KB · Views: 22
  • telegram_video.mp4
    9.4 MB


GAIDI LIMEUAWA.
 
Twende kwa hoja upo tayali ?
Kama umeshindwa kujua kufanana kwako wewe dini na samia au Mkristo yeyote kushindwa kujua kufanana kwake dini na raisi au yeyote ktk taasisi inayoitwa ya โ€UMAโ€ hakumsaidii siyo wewe tu hata nduguzo basi wewe hauna hoja.

Samia Muislam mwenzako akikaa chamber na Wakristo na wasiokuwa na hizo dini wakaamua jambo la kuliumiza taifa unaumia kuanzia wewe bila kujali kufanana naye dini mpaka jirani yako same kwa atheist same kwa Mkristo au yeyote yule,wakumpambania samia ni watu wa nyumbani kwake kwa sababu uwepo wake alipo kwao ni faida na fursa adhimu siyo wewe upo Kilwa Masoko huko kujifanya kumpambania wakati baba yako mdogo au shangazi zako hawana hata cent ya kununua panadol wakiugua so stop this nonsense.
 
Ukristo ni ukenge kweli afu mnajidai eti wasomi mgekuwa wasomi mgefahamu journalist wanaweza kupiga picture na mtu wa aina yoyote ile, lakini mlivyo wajinga kila anaye piga picture na Rais na yeye kisha kuwa Rais.

Nyie humuwezi kupata akili hata siku moja, mgekuwa na akili mtoto wa Mariam msingesema ni Mungu.
 
Unashikiwa akili na propaganda za mabwana zako, Israel wameishawaua waandishi wa habari za Al Jazira zaidi ya 200 Gaza hata Punda wanauliwa tunaambiwa ni Hamas.
Wewe KIBWENGO unashikishwa akili na Mabwana zako Magaidi kwa kuaminishwa wanauwawa ni Waandishi wa Habari!!! Acha ujinga hao ni magaidi wa Hamas na Islamic Jihad waliovaa joho la waandishi wa habari.

Ni bahati nzuri sana Jeshi la Israel lina mkono mrefu hatimaye limewafikia magaidi hao na ninawaomba waendelee kuwafyeka hata wakifikia 1,000 sawa tu maana magaidi si watu wa kulea lea!!!
 
Ujinga huo ndiyo mnaofundishwa Madrasa? Kama ndiyo hivo basi mtaendelea kufuga Midevu na Majini tu badala ya kufuga Ngโ€™ombe wa Maziwa!!!!
 
Wapumzike kwa amani Marehemu wote,hakuna lililo na mwanzo likakosa mwisho,kila kitu kina mwisho haya pia yataisha.
Hakuna cha kupumzika kwa Amani kwa Magaidi kwa damu walizozimwaga za watu wasio na hatia!!! Wanapaswa waende motoni kwa vitendo vyao viovu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ