Wanaharakati Kujitoa bunge la katiba?

Wanaharakati Kujitoa bunge la katiba?

mwanza_kwetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
693
Reaction score
182
Wanabodi

Kuna mengi yanaendelea dodoma. Mwenyekiti wa muda asilimia kubwa anawapendelea wanasiasa tuvktk kuchangia ambapo asilimia kubwa ni ccm. Ccm wana rasmu ya katiba ya kwao tayari na hivyobmkakati wa kubadili rasmu bado uko palepale maana ccm ktk maslahi yao huwa hawachoki hata kama watu watakufa kwa ajili ya huo msimamo. Wapinzani na wanaharakati wa kweli wameanzisha umoja au movement ambao lengo ni kupigania katiba. Sass ngoma inogile mpaka juma tatu. Kuna kosa kubwa limechomekwa na kukubaliwa na kamati ya rasmu ya kanuni hili jambo la akidi kiwa 50% ktk maamuzi hii ni mbaya kwa kuzingatia wingi huu wa maccm. Sasa tutarajie nini kama sio bunge kuvunjika na tumeona bunge limeshitakiwavkwa maana ya kutoaminika mbele ya umma. Naamini wanaharakati hawatakubali na ccm hawatakubali hivyo hatutakuwa na katiba mpya na kikao kitavunjika kabla ya wakati. Mwanabodi sijui wewe una lipi binafsi naona hatutapata katiba kpya zaidi ya katiba iliyopakwa rangi ya kijani
 
wanaharakati wengi wananjaa kama machadema posho itawatesa sana hawawez kugoma huku wanalialia posho ndogo
 
Nji hii itakumbwa na mapigano kabla hajusherehekea miaka 80 ya uhuru wa tanzania. Katiba hii itakuwa chanzo cha vita.
 
Nji hii itakumbwa na mapigano kabla hatujasherehekea miaka 80 ya uhuru wa tanzania. Katiba hii itakuwa chanzo cha vita.
 
Mbona akidi ilikuwa 2/3 ya wajumbe wa bara na 2/3 ya wajumbe wa visiwani kila kundi kivyake? Wamebadili? Nieleweshe!
 
Mbona akidi ilikuwa 2/3 ya wajumbe wa bara na 2/3 ya wajumbe wa visiwani kila kundi kivyake? Wamebadili? Nieleweshe!
wamebadili ili lengo la ccm kupata katiba ya ccm litimie, lakini kwa maoni yangu ccm inafanya kosa kubwa sana ambalo gharama yake itakuwa kubwa sana kuilipa, wajumbe wa zanzibar hawatapitisha katiba hii, lakini pia ikija kwa wananchi upande wa zanzibar haitapita.
 
wamebadili ili lengo la ccm kupata katiba ya ccm litimie, lakini kwa maoni yangu ccm inafanya kosa kubwa sana ambalo gharama yake itakuwa kubwa sana kuilipa, wajumbe wa zanzibar hawatapitisha katiba hii, lakini pia ikija kwa wananchi upande wa zanzibar haitapita.

Hizi habari umezipata wapi?
 
Tatizo la watanzania kila jambo mnaona ccm ina maslahi hv mmesahau kuwa ccm ndio chama tawala? Hivyo tumieni busara kujenga hoja, na kama mta ng,ang,ania hoja ya kuondoa ccm madarakani basi mtaleta mgongano mkubwa sana, kuweni makini
 
Back
Top Bottom