mwanza_kwetu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 693
- 182
Wanabodi
Kuna mengi yanaendelea dodoma. Mwenyekiti wa muda asilimia kubwa anawapendelea wanasiasa tuvktk kuchangia ambapo asilimia kubwa ni ccm. Ccm wana rasmu ya katiba ya kwao tayari na hivyobmkakati wa kubadili rasmu bado uko palepale maana ccm ktk maslahi yao huwa hawachoki hata kama watu watakufa kwa ajili ya huo msimamo. Wapinzani na wanaharakati wa kweli wameanzisha umoja au movement ambao lengo ni kupigania katiba. Sass ngoma inogile mpaka juma tatu. Kuna kosa kubwa limechomekwa na kukubaliwa na kamati ya rasmu ya kanuni hili jambo la akidi kiwa 50% ktk maamuzi hii ni mbaya kwa kuzingatia wingi huu wa maccm. Sasa tutarajie nini kama sio bunge kuvunjika na tumeona bunge limeshitakiwavkwa maana ya kutoaminika mbele ya umma. Naamini wanaharakati hawatakubali na ccm hawatakubali hivyo hatutakuwa na katiba mpya na kikao kitavunjika kabla ya wakati. Mwanabodi sijui wewe una lipi binafsi naona hatutapata katiba kpya zaidi ya katiba iliyopakwa rangi ya kijani