Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Jizi na lipenda rushwa linachangia bila aibuNa: Chris Bwaya Chilumba
31.08 2026
Mwaka 2017, HH akiwa mpinzani nchini Zambia, alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini.
Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa kuhusu matumizi ya sheria dhidi ya wapinzani na hatimaye mashtaka yakaondolewa.
Mwaka 2021, baada ya Hichilema kushinda urais, baadhi ya wapinzani na wanaharakati Tanzania walimshangilia sana.
Maria Sarungi Tsehai kwa mfano, aliandika: “Safi sana HH, show them how it’s done!”
HH akaonekana kama mfano wa mwanasiasa aliyepambana na dola na hatimaye akaingia Ikulu. Lakini leo, akiwa Rais, Brian Mundubile, mpinzani wake, amefunguliwa mashtaka ya uhaini.
Hapo ndipo tunapaswa kujiuliza: je, Principle bado ni principle wakati “mtu wetu” anapokuwa upande wa dola?
Tusichanganye mambo: Uhaini si kosa maalum kwa wapinzani, wala upinzani si kinga dhidi ya jinai.
Mtu yeyote anayefanya kitendo kinachokidhi vigezo vya kisheria anapaswa kuchunguzwa na kama ushahidi upo, kushtakiwabila kujali cheo chake.
Lakini pia mashtaka si hukumu. Mundubile anapaswa kupatiwa 'due process', Serikali iweke ushahidi wake mezani na mahakama iamue.
Hii ndiyo maana ya rule of law: si “mtu wangu akifanya ni haki, mtu wao akifanya ni jinai.”
Mwanaharakati wa kweli hatakiwi kumtetea mtu kwa sababu tu ni mpinzani; anatakiwa kutetea haki yake kwa sababu ni haki. Leo unaweza kumtetea mpinzani kwa sababu ni mpinzani, kesho akawa Rais na akamfungulia mpinzani mwingine mashtaka yale yale uliyokuwa ukilalamikia.
Hapo ndipo unagundua kama ulikuwa unatetea principle au ulikuwa unatetea upande.
Tuwatazame akina John Heche, Maria Sarungi, Hilda Newton, Tito Magoti, Twaha Mwaipaya na wengine waliowahi kuitazama Zambia ya HH kama mfano wa kisiasa. 😃
Tunawauliza, Mnaionaje Zambia ya leo? 😃
Mnamuonaje HH, yule ambaye mwaka 2017 alijikuta akikabiliwa na uhaini akiwa mpinzani, leo akiwa Rais na mpinzani wake akikabiliwa na mashtaka hayo hayo? 😃
Je, kama Serikali ina ushahidi, mnaunga mkono mchakato wa sheria? 😃
Kama mnaona kuna matumizi ya dola kisiasa, mbona hamsemi kwa nguvu ile ile? 😃
Na kama bado mnachunguza, semeni. 😃
Msitutazame tu kama mlivyokuwa mkituambia “Look at Hichilema.” 😃
Tumemuangalia. Sasa tunawaangalia nyinyi. 👀
Kwa sababu hili si suala la kumpenda au kumchukia HH, wala kumpenda au kumchukia Mundu.
Wanaharakati mna mtihani wa consistency.
Wanaharakati msiwe mashabiki wa wapinzani; kuweni mashabiki wa haki.
Wanaharakati wasimtete mtu kwa sababu ana cheo cha mpinzani, bali kwa sababu hoja yake inastahili kutetewa na wasiishambulie Serikali kwa sababu tu ni Serikali, bali pale inapokiuka principle wanazodai kuamini.
HH wa 2017 alistahili haki. Mundu wa 2026 pia anastahili haki.
Na kama kuna ushahidi wa uhaini, sheria ichukue mkondo wake.
Sasa swali ni moja tu: Je, principle zenu ni principle kweli au zinabadilika kulingana na nani anakidhi maslahi yenu ya kufanya harakati? 😃😃View attachment 3660608
Sasa kama yeye alionewa watu wakapiga kelele kumtetea, hapo hakuna ubaya maana watu walikua wanataka haki, na hata sasa kama mpinzani anaonewa kisa tu kuna mtu ana nguvu za kiutwala pia lazima watu wamtetee, sababu watu wanaangalia haki na sio upinzani wakeNa: Chris Bwaya Chilumba
31.08 2026
Mwaka 2017, HH akiwa mpinzani nchini Zambia, alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini.
Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa kuhusu matumizi ya sheria dhidi ya wapinzani na hatimaye mashtaka yakaondolewa.
Mwaka 2021, baada ya Hichilema kushinda urais, baadhi ya wapinzani na wanaharakati Tanzania walimshangilia sana.
Maria Sarungi Tsehai kwa mfano, aliandika: “Safi sana HH, show them how it’s done!”
HH akaonekana kama mfano wa mwanasiasa aliyepambana na dola na hatimaye akaingia Ikulu. Lakini leo, akiwa Rais, Brian Mundubile, mpinzani wake, amefunguliwa mashtaka ya uhaini.
Hapo ndipo tunapaswa kujiuliza: je, Principle bado ni principle wakati “mtu wetu” anapokuwa upande wa dola?
Tusichanganye mambo: Uhaini si kosa maalum kwa wapinzani, wala upinzani si kinga dhidi ya jinai.
Mtu yeyote anayefanya kitendo kinachokidhi vigezo vya kisheria anapaswa kuchunguzwa na kama ushahidi upo, kushtakiwabila kujali cheo chake.
Lakini pia mashtaka si hukumu. Mundubile anapaswa kupatiwa 'due process', Serikali iweke ushahidi wake mezani na mahakama iamue.
Hii ndiyo maana ya rule of law: si “mtu wangu akifanya ni haki, mtu wao akifanya ni jinai.”
Mwanaharakati wa kweli hatakiwi kumtetea mtu kwa sababu tu ni mpinzani; anatakiwa kutetea haki yake kwa sababu ni haki. Leo unaweza kumtetea mpinzani kwa sababu ni mpinzani, kesho akawa Rais na akamfungulia mpinzani mwingine mashtaka yale yale uliyokuwa ukilalamikia.
Hapo ndipo unagundua kama ulikuwa unatetea principle au ulikuwa unatetea upande.
Tuwatazame akina John Heche, Maria Sarungi, Hilda Newton, Tito Magoti, Twaha Mwaipaya na wengine waliowahi kuitazama Zambia ya HH kama mfano wa kisiasa. 😃
Tunawauliza, Mnaionaje Zambia ya leo? 😃
Mnamuonaje HH, yule ambaye mwaka 2017 alijikuta akikabiliwa na uhaini akiwa mpinzani, leo akiwa Rais na mpinzani wake akikabiliwa na mashtaka hayo hayo? 😃
Je, kama Serikali ina ushahidi, mnaunga mkono mchakato wa sheria? 😃
Kama mnaona kuna matumizi ya dola kisiasa, mbona hamsemi kwa nguvu ile ile? 😃
Na kama bado mnachunguza, semeni. 😃
Msitutazame tu kama mlivyokuwa mkituambia “Look at Hichilema.” 😃
Tumemuangalia. Sasa tunawaangalia nyinyi. 👀
Kwa sababu hili si suala la kumpenda au kumchukia HH, wala kumpenda au kumchukia Mundu.
Wanaharakati mna mtihani wa consistency.
Wanaharakati msiwe mashabiki wa wapinzani; kuweni mashabiki wa haki.
Wanaharakati wasimtete mtu kwa sababu ana cheo cha mpinzani, bali kwa sababu hoja yake inastahili kutetewa na wasiishambulie Serikali kwa sababu tu ni Serikali, bali pale inapokiuka principle wanazodai kuamini.
HH wa 2017 alistahili haki. Mundu wa 2026 pia anastahili haki.
Na kama kuna ushahidi wa uhaini, sheria ichukue mkondo wake.
Sasa swali ni moja tu: Je, principle zenu ni principle kweli au zinabadilika kulingana na nani anakidhi maslahi yenu ya kufanya harakati? 😃😃View attachment 3660608
Sasa kama yeye alionewa watu wakapiga kelele kumtetea, hapo hakuna ubaya maana watu walikua wanataka haki, na hata sasa kama mpinzani anaonewa kisa tu kuna mtu ana nguvu za kiutwala pia lazima watu wamtetee, sababu watu wanaangalia haki na sio upinzani wake
Heinde Hechilema ni mwana sisiyemu. Wakati viongozi wengine wakisusia kuhudhuria sherehe za kuiweka madarakani serikali haramu, yeye alikuja. Na kule Zambia 🇿🇲 akapopolewa kwa maweNa: Chris Bwaya Chilumba
31.08 2026
Mwaka 2017, HH akiwa mpinzani nchini Zambia, alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini.
Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa kuhusu matumizi ya sheria dhidi ya wapinzani na hatimaye mashtaka yakaondolewa.
Mwaka 2021, baada ya Hichilema kushinda urais, baadhi ya wapinzani na wanaharakati Tanzania walimshangilia sana.
Maria Sarungi Tsehai kwa mfano, aliandika: “Safi sana HH, show them how it’s done!”
HH akaonekana kama mfano wa mwanasiasa aliyepambana na dola na hatimaye akaingia Ikulu. Lakini leo, akiwa Rais, Brian Mundubile, mpinzani wake, amefunguliwa mashtaka ya uhaini.
Hapo ndipo tunapaswa kujiuliza: je, Principle bado ni principle wakati “mtu wetu” anapokuwa upande wa dola?
Tusichanganye mambo: Uhaini si kosa maalum kwa wapinzani, wala upinzani si kinga dhidi ya jinai.
Mtu yeyote anayefanya kitendo kinachokidhi vigezo vya kisheria anapaswa kuchunguzwa na kama ushahidi upo, kushtakiwabila kujali cheo chake.
Lakini pia mashtaka si hukumu. Mundubile anapaswa kupatiwa 'due process', Serikali iweke ushahidi wake mezani na mahakama iamue.
Hii ndiyo maana ya rule of law: si “mtu wangu akifanya ni haki, mtu wao akifanya ni jinai.”
Mwanaharakati wa kweli hatakiwi kumtetea mtu kwa sababu tu ni mpinzani; anatakiwa kutetea haki yake kwa sababu ni haki. Leo unaweza kumtetea mpinzani kwa sababu ni mpinzani, kesho akawa Rais na akamfungulia mpinzani mwingine mashtaka yale yale uliyokuwa ukilalamikia.
Hapo ndipo unagundua kama ulikuwa unatetea principle au ulikuwa unatetea upande.
Tuwatazame akina John Heche, Maria Sarungi, Hilda Newton, Tito Magoti, Twaha Mwaipaya na wengine waliowahi kuitazama Zambia ya HH kama mfano wa kisiasa. 😃
Tunawauliza, Mnaionaje Zambia ya leo? 😃
Mnamuonaje HH, yule ambaye mwaka 2017 alijikuta akikabiliwa na uhaini akiwa mpinzani, leo akiwa Rais na mpinzani wake akikabiliwa na mashtaka hayo hayo? 😃
Je, kama Serikali ina ushahidi, mnaunga mkono mchakato wa sheria? 😃
Kama mnaona kuna matumizi ya dola kisiasa, mbona hamsemi kwa nguvu ile ile? 😃
Na kama bado mnachunguza, semeni. 😃
Msitutazame tu kama mlivyokuwa mkituambia “Look at Hichilema.” 😃
Tumemuangalia. Sasa tunawaangalia nyinyi. 👀
Kwa sababu hili si suala la kumpenda au kumchukia HH, wala kumpenda au kumchukia Mundu.
Wanaharakati mna mtihani wa consistency.
Wanaharakati msiwe mashabiki wa wapinzani; kuweni mashabiki wa haki.
Wanaharakati wasimtete mtu kwa sababu ana cheo cha mpinzani, bali kwa sababu hoja yake inastahili kutetewa na wasiishambulie Serikali kwa sababu tu ni Serikali, bali pale inapokiuka principle wanazodai kuamini.
HH wa 2017 alistahili haki. Mundu wa 2026 pia anastahili haki.
Na kama kuna ushahidi wa uhaini, sheria ichukue mkondo wake.
Sasa swali ni moja tu: Je, principle zenu ni principle kweli au zinabadilika kulingana na nani anakidhi maslahi yenu ya kufanya harakati? 😃😃View attachment 3660608
Two wrongs dont make it right.Na: Chris Bwaya Chilumba

Ahsante sana kwa kuijua Imani yangu kuwa kumbe JF Bado Kuna watu wenye akili mno. Wasiwasi wangu tu ni kwamba unaweza kutukanwa na watu flani humu waliojimilikisha/milikishwa jukwaa hili kwa ajili ya harakati zao ambazo zinachalenjiws vizuri sana na maswali Yako Leo.Na: Chris Bwaya Chilumba
31.08 2026
Mwaka 2017, HH akiwa mpinzani nchini Zambia, alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini.
Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa kuhusu matumizi ya sheria dhidi ya wapinzani na hatimaye mashtaka yakaondolewa.
Mwaka 2021, baada ya Hichilema kushinda urais, baadhi ya wapinzani na wanaharakati Tanzania walimshangilia sana.
Maria Sarungi Tsehai kwa mfano, aliandika: “Safi sana HH, show them how it’s done!”
HH akaonekana kama mfano wa mwanasiasa aliyepambana na dola na hatimaye akaingia Ikulu. Lakini leo, akiwa Rais, Brian Mundubile, mpinzani wake, amefunguliwa mashtaka ya uhaini.
Hapo ndipo tunapaswa kujiuliza: je, Principle bado ni principle wakati “mtu wetu” anapokuwa upande wa dola?
Tusichanganye mambo: Uhaini si kosa maalum kwa wapinzani, wala upinzani si kinga dhidi ya jinai.
Mtu yeyote anayefanya kitendo kinachokidhi vigezo vya kisheria anapaswa kuchunguzwa na kama ushahidi upo, kushtakiwabila kujali cheo chake.
Lakini pia mashtaka si hukumu. Mundubile anapaswa kupatiwa 'due process', Serikali iweke ushahidi wake mezani na mahakama iamue.
Hii ndiyo maana ya rule of law: si “mtu wangu akifanya ni haki, mtu wao akifanya ni jinai.”
Mwanaharakati wa kweli hatakiwi kumtetea mtu kwa sababu tu ni mpinzani; anatakiwa kutetea haki yake kwa sababu ni haki. Leo unaweza kumtetea mpinzani kwa sababu ni mpinzani, kesho akawa Rais na akamfungulia mpinzani mwingine mashtaka yale yale uliyokuwa ukilalamikia.
Hapo ndipo unagundua kama ulikuwa unatetea principle au ulikuwa unatetea upande.
Tuwatazame akina John Heche, Maria Sarungi, Hilda Newton, Tito Magoti, Twaha Mwaipaya na wengine waliowahi kuitazama Zambia ya HH kama mfano wa kisiasa. 😃
Tunawauliza, Mnaionaje Zambia ya leo? 😃
Mnamuonaje HH, yule ambaye mwaka 2017 alijikuta akikabiliwa na uhaini akiwa mpinzani, leo akiwa Rais na mpinzani wake akikabiliwa na mashtaka hayo hayo? 😃
Je, kama Serikali ina ushahidi, mnaunga mkono mchakato wa sheria? 😃
Kama mnaona kuna matumizi ya dola kisiasa, mbona hamsemi kwa nguvu ile ile? 😃
Na kama bado mnachunguza, semeni. 😃
Msitutazame tu kama mlivyokuwa mkituambia “Look at Hichilema.” 😃
Tumemuangalia. Sasa tunawaangalia nyinyi. 👀
Kwa sababu hili si suala la kumpenda au kumchukia HH, wala kumpenda au kumchukia Mundu.
Wanaharakati mna mtihani wa consistency.
Wanaharakati msiwe mashabiki wa wapinzani; kuweni mashabiki wa haki.
Wanaharakati wasimtete mtu kwa sababu ana cheo cha mpinzani, bali kwa sababu hoja yake inastahili kutetewa na wasiishambulie Serikali kwa sababu tu ni Serikali, bali pale inapokiuka principle wanazodai kuamini.
HH wa 2017 alistahili haki. Mundu wa 2026 pia anastahili haki.
Na kama kuna ushahidi wa uhaini, sheria ichukue mkondo wake.
Sasa swali ni moja tu: Je, principle zenu ni principle kweli au zinabadilika kulingana na nani anakidhi maslahi yenu ya kufanya harakati? 😃😃View attachment 3660608
Heheheheee!Watu wanasimamia haki, Hichilema alitetewa maana alikuwa ananyimwa haki, anapotenda upuuI sasa baada ya kupata madaraka atatetewa vipi?
Nilijua tu nyumbu mada hii lazima iwapige chenga?!!!! Pitia, bila mihemko, maswali yake utamuelewa vizuri sana.Maoni yako ni yapi? Kinachoendelea huko Zambia ni kitu kizuri au kibaya?
Ndo mchango wa nyumbu kwenye mada yenye sifa ya great thinking 🤔 🤔. JF imekuwa hasara siku hizi.Heinde Hechilema ni mwana sisiyemu. Wakati viongozi wengine wakisusia kuhudhuria sherehe za kuiweka madarakani serikali haramu, yeye alikuja. Na kule Zambia 🇿🇲 akapopolewa kwa mawe
Kwani nimemkosoa mleta mada? Nimemwambia mtu aliye nje ya haki ni mpuuzi kama mpuuzi mwingine. Yeye anataka kufundisha wapinzani jinsi ya kutetea mambo. Na lengo lake hasa ni kutaka kuonyesha hata wapinzani hawatatenda haki wakipata madaraka, kisa huo upuuzi wa Hichilema.Heheheheee!
Bado hujamuelewa mtoa mada. Anasisitiza kitu hicho hicho. Msome tena🤣🤣🤣🤣
Dogo, JF tuko kuanzia zama za JamboForums mmetukuta na JF yetuNdo mchango wa nyumbu kwenye mada yenye sifa ya great thinking 🤔 🤔. JF imekuwa hasara siku hizi.