Wanaharakati tumieni hekima: Maria Sarungi kulifananisha kanisa katoliki na nyeti za kiume ni dhihaka kwa wakatoliki

Wanaharakati tumieni hekima: Maria Sarungi kulifananisha kanisa katoliki na nyeti za kiume ni dhihaka kwa wakatoliki

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Wanaharakati !

kuweni makini hasa mnapokosoa mambo yenye misingi ya kidini!

Wakati serikali ikiendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba, kwa kuhakikisha inakusanya kodi kutoka taasisi zote za kibiashara ikiwemo binafsi na zile zinazomilikiwa na makanisa!

Wameibuka wanaharakati kuhusisha madai ya kodi katika shule moja inayomilikiwa na kanisa katoliki kuwa ni ya kisiasa na harakati za uchaguzi mkuu 2020 ilihali chimbuko la madai hayo yapo ni tangu 2012!

Mojawapo ya walionukuliwa ni #Maria Sarungi ambaye yeye kadhihaki taasisi ya dini na kuifananisha na KORODANI jambo lililogusa imani za watu!

Inatambulika kwamba Korodani ni Nyama au ngozi inayoning'inia chini ya shina la Uume katika sehemu za siri za mwanamme!

Hivyo maneno yake yanahesabika kuwa ni ya kichochezi kwa kuhamasisha wanaume kubanwa korodani kama ishara ya kushurutishwa jambo litakalohatarisha maisha ya Wanaume!
IMG-20201203-WA0001.jpg
 
Hivi unafikiri kuwa kila mtu ni punguani ambae hajui kusoma kwa ufasaha?Nikisema kuwa wewe umebanwa korodani maana yake nakufananisha wewe na korodani?
Kanisa tangu lini linakorodani?
 
We jamaa sasa hapo kosa liko wap? Katoa mfano ili watu waelewe kiraisi.
Katumia lugha ya kichochezi kusambaza maudhui jambo linalohatarisha maisha ya wengine
 
Mleta post ni wale wamezoea kupiga makofi,hawataki kukosolewa na wananchi .
Mkuu! Kuna mtu aliwahi tamka maneno! "Nguruwe kaingia Msikitini" akiwa na maana ya lowassa kuingia chadema!
Aliwajibishwa kwa kutumia maneno ya dhihaka kwenye taasisi za dini!
 
Hivi unafikiri kuwa kila mtu ni punguani ambae hajui kusoma kwa ufasaha?Nikisema kuwa wewe umebanwa korodani maana yake nakufananisha wewe na korodani?
Mkuu! Kuna mtu aliwahi tamka maneno! "Nguruwe kaingia Msikitini" akiwa na maana ya lowassa kuingia chadema!
Aliwajibishwa kwa kutumia maneno ya dhihaka kwenye taasisi za dini!
 
Huko Twitter hakufikiki. Tusubirie jiwe samurai kufunguliwe kwanza. Bila kuona wenyewe tunathibitisha vipi?
 
Kanisa tangu lini linakorodani?
Unaelewa kusoma kwa ufasaha?Uliwahi kujifunza lugha za picha?Kwani kwa mfano Magufuli alivyojiita kuwa yeye ni jiwe alimaanisha kuwa yeye ni haya mawe tunayoyajua?
 
Vitu viwili tofauti,yeye kasema amesikia na mleta maada anadai Maria kasema...una chuki au
 
Wewe mtoa mada kweli taahira Ambacho haujakielewa happy ninini !?? Maria happy alichokosea ni kitu gani Yaani umeshindwa kuelewa matumizi ya fasihi kabisa !?
 
Back
Top Bottom