Wanaharakati tumieni hekima: Maria Sarungi kulifananisha kanisa katoliki na nyeti za kiume ni dhihaka kwa wakatoliki

Wanaharakati tumieni hekima: Maria Sarungi kulifananisha kanisa katoliki na nyeti za kiume ni dhihaka kwa wakatoliki

Katumia lugha ya kichochezi kusambaza maudhui jambo linalohatarisha maisha ya wengine
Korodani ni uchochezi ...!?? Yaani kiungo cha mwili kimekuwa uchochezi
 
Wapi pameandikwa kanisa limekalia pumb hapo?
Kasema Kanisa katoliki limebanwa Korodani;
IMG-20201203-WA0001.jpg
 
Naona angeweka, "limebanwa Pummbu" Ingekaa poa sana.
 
Korodani ni uchochezi ...!?? Yaani kiungo cha mwili kimekuwa uchochezi
Ni uchochezi! Tena mbali na uchochezi inahamasisha wanaume kubanwa Korodani kwenye jamii!
Ingekuwa neno la kike mgesema wanawake mnadhalilishwa
 
Wewe ndiyo tatizo kuliko huyo Bi Sarungi ningekuona wa maana Kama ungejadili Hilo tatizo la shule kuliko kumjadili Sarungi
 
Hivi unafikiri kuwa kila mtu ni punguani ambae hajui kusoma kwa ufasaha?Nikisema kuwa wewe umebanwa korodani maana yake nakufananisha wewe na korodani?
afadhali umempa makavu, anadhani wote ni CCM ambao hawawezi kufikiri. Hakuna maneno mabaya hapo aliyoyaandika Sarungi, ni mfano mzuri tu kuwa serikali inataka kuua shule/kanisa maana mwanamme ukimbana korodani una lengo la kumuua, maumivu huwa ni makali sana yasiyovumilika...etc etc
 
Mkuu! Kuna mtu aliwahi tamka maneno! "Nguruwe kaingia Msikitini" akiwa na maana ya lowassa kuingia chadema!
Aliwajibishwa kwa kutumia maneno ya dhihaka kwenye taasisi za dini!
Wenye akili ka yako ndio waliomuwajibisha
 
Kweli umeanza kuwehuka. Ndio umeandika nini sasa?
 
Kuna majitu yakiona yanakula na kamshahara mwisho wa mwezi basi huona yamepatia maisha. Fikiria watoto walio simamishwa kwenda shule nungekua ww sijui ungejisikiaje.
 
Hivi unafikiri kuwa kila mtu ni punguani ambae hajui kusoma kwa ufasaha?Nikisema kuwa wewe umebanwa korodani maana yake nakufananisha wewe na korodani?
Nawe utakuwa umebanwa clit sio korodani [emoji16][emoji23]
 
Mwanaharakati mzungu huyo ikitokea ya kutoa atasepa kwao umamani
 
Siyo tusi kama kama likitumika pahala pake! Lakini ukitaja taasisi kua imekalia pumbu ni kosa!
Kwasababu taasisi haina pumbu
haina pumbu sasa unalia nini?

Wewe ndo wa kuanza nae kwanza upigwe ban ya muda halafu ukaripoti police.

Kwa akili zako hizi utaenda kuriport polisi kweli kabisaa!

Korodani ni sifa kwa mwanaume wewe! Saana wewe ndo unaridhalilisha kanisa eti halina korodani. Viongozi wana nini maku au...kenge wee!

Riport kituo cha polisi kesho bila kukosa tusikutafute!

Tukikutafuta sisi mwendo wake utayamba kifukuto! Jf ni ndogo sana tukiamua.
 
Poleni sana katoliki kwa kukabwa maeneo hayo, huyu mama kapungukiwa na hekima uwezi taja maeneo ya siri ya wanaume hivyo.
 
Back
Top Bottom