Wanaharakati wa Afrika Mashariki Wamfuate Trump White House

Wanaharakati wa Afrika Mashariki Wamfuate Trump White House

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
817
Reaction score
881
"Huu ndio wakati sahihi kwa wanaharakati wa Afrika Mashariki hususani Kenya, Uganda na Tanzania kupanda ndege (kwa ufadhili wa mashirika yasiyoeleweka), waungane na Gen Z team waende Marekani, waandamane mbele ya White House wakisema: 'Trump must go!' maana dunia haitapata haki bila wao, wala maandamano hayatahalalika bila matamko yao yenye maneno 3,000 yenye maudhui sifuri." — Alloyce, P.R.
 
Back
Top Bottom