Wanaharakati wa haki za binadamu,na hili mnalikalia kimya?

Wanaharakati wa haki za binadamu,na hili mnalikalia kimya?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Huu ni udhalilishaji wa wazi kabisa kwa wanawake,waziri alipaswa aidha kutoliongelea hili hadharani au aombe radhi. Picha na heading yake inajieleza.
IMG-20240622-WA0010.jpg
 
Kiswahili kina maneno kama kisu...
Angesema Placenta inge sound kawaida sana...


Cc: Mahondaw
 
kwani sie kina mama wenye makondo yetu tunasemaje!!!?
 
Back
Top Bottom