AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nduki!! hata kama ni kilema kitapona.Ukakutana na mtu usiku wa manane kavalia hv
View attachment 2294436
Aiseee tumbo limejaa la NandyMpo wapi kutetea usawa au udhalilishaji wa kijinsia...?
Muangalie hapo Billnas alivyotupia kavaa kwa heshima na stara nzuri... Vazi ambalo akiingia popote atapokelewa kwa heshima iwe IKULU au BUNGENI anaingia bila bughudha...
Tuje upande wa pili wa NANDY alivyovalishwa... Mpeleke ikulu au bungeni aingie hivyo... Ataruhusiwa au atazuiwa? Bila shaka atazuiwa... Kwanini azuiwe?
Vazi alilovishwa ni UDHALILISHAJI WA KIJINSIA... Yaani mumewe billnas avishwe vazi la heshima lisiloonesha maungo wala uchi wake(SUTI)...ila NANDY mnamvisha vazi la kumuacha uchi kabisa... Vazi la chumbani... HUU SI UDHALILISHAJI...?
MKO WAPI WATU WA HAKI ZA WANAWAKE...?
MBONA BINTI WA KIISLAAM AKIVISHWA VAZI LA HESHIMA MNASEMA ANABANWA ANANYIMWA UHURU WAKE... UHURU WENYEWE NDIO HUU WA UDHALILISHAJI?