Wanaharakati wa Katiba Mpya, jibuni hoja za Anthony Diallo

Wanaharakati wa Katiba Mpya, jibuni hoja za Anthony Diallo

Taso

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2010
Posts
2,507
Reaction score
2,412
YA MUHIMU zaidi ya mauza uza ya Rais aliyeenda Mirembe, kwenye mazungumzo yake Anthony Diallo alisema:

Katika nchi zetu za Kiafrika Li Katiba linaweza likawekwa pembeni na watu wakaemdelea na ya kwao tu... mtamfanya nini?

Kwani 2005 Zanzibar hakukuwa na Tume Huru? Hakukuwa na CUF kwenye tume yo Jecha? Na nini kilitokea?

Kwani Katiba ya sasa inaruhusu mtu kuwekwa Butimba miaka na miaka bila hukumu? Hawafanyi ?

Hivi yule Donald Trump angekuwa Afrika mngemtoa Ikulu? Mngemfanya nini?
 
Sasa kama wapo si ndiyo tutafute sasa hiyo katiba ?
Sasa kama hawa wanaotafuta katiba ndio waadilifu kwa nini wasifuate katiba hii ya sasa kwa huo uadilifu wao ?
 
Wewe si ndiyo umesema tutafute watu waadilifu kwanza ?
NDIO MIMI.

nakuuliza kama unaamini kuwa tunao watu waadilifu unadhani kwa nini hawafuati katiba kwa uadilifu wao ?
 
Uwepo tu wa katiba ya sasa inamaana kuwa na katiba ni muhimu, ndio msingi mkuu wa sheria zetu. Katiba iliyopo ni ya miaka mingi iliyopita, je ni kosa kufikiria kuandika upya, kikwazo ni nini sana sana. Mbona tukitaka kuipiga vilaka vinavyotupendelea tunafanyia kazi haraka sana, Sio mwanaharakati ila huwa naamini kwenye ukweli.
 
YA MUHIMU zaidi ya mauza uza ya Rais aliyeenda Mirembe, kwenye mazungumzo yake Anthony Diallo alisema:

...Katika nchi zetu za Kiafrika Li Katiba linaweza likawekwa pembeni na watu wakaemdelea na ya kwao tu... mtamfanya nini?

...Kwani 2005 Zanzibar hakukuwa na Tume Huru? Hakukuwa na CUF kwenye tume yo Jecha? Na nini kilitokea ?

...Kwani Katiba ya sasa inaruhusu mtu kuwekwa Butimba miaka na miaka bila hukumu ??? Hawafanyi ?

... Hivi yule Donald Trump angekuwa Afrika mngemtoa Ikulu? Mngemfanya nini ?
No katiba mpya inatakiwa iseme mtu akiivunja apewe adhabu Kali
. watawala wataogopa. Kinachotokea nikwamba kunakua na rope holes zinazo wapa unafuu wavunjaji wa katiba iliyopo
 
Hao wanaotafuta katiba mpya lini wameivunja hii ya sasa ?
Hivi waliotaka mama asiapishwe walikuwa akina nani na walitoka chama gani?
Nani alisimamia sheria ifuate mkondo wake.
Kama yupo atusaidie kusimamia wananchi wapate katiba.namuona ana nguvu kuliko chama chochote
 
Siasa katika ulimwengu wa sasa ni biashara na vyama ni NGO''s nyuma ya hiyo biashara.
 
Back
Top Bottom