Kwahiyo hao watu waadilifu watapatikanaje ?Kila siku tunasema hakuna haja ya katiba mpya.
Tuna haja ya watu waadilifu kwanza.
Kwani sasa hivi hatuna watu waadilifu ndani ya hii hii katiba inayosemwa ni mbovu ?Kwahiyo hao watu waadilifu watapatikanaje ?
Sasa kama wapo si ndiyo tutafute sasa hiyo katiba ?Kwani sasa hivi hatuna watu waadilifu ndani ya hii hii katiba inayosemwa ni mbovu ?
Wewe si ndiyo umesema tutafute watu waadilifu kwanza ?Kwani sasa hivi hatuna watu waadilifu ndani ya hii hii katiba inayosemwa ni mbovu ?
Sasa kama hawa wanaotafuta katiba ndio waadilifu kwa nini wasifuate katiba hii ya sasa kwa huo uadilifu wao ?Sasa kama wapo si ndiyo tutafute sasa hiyo katiba ?
NDIO MIMI.Wewe si ndiyo umesema tutafute watu waadilifu kwanza ?
Mkuu, ni kweli alitolea mfano wa uchaguzi wa mwaka 2005?...Kwani 2005 Zanzibar hakukuwa na Tume Huru? Hakukuwa na CUF kwenye tume yo Jecha? Na nini kilitokea ?
Tuna kinga za viongozi,Kwani sasa hivi hatuna watu waadilifu ndani ya hii hii katiba inayosemwa ni mbovu ?
No katiba mpya inatakiwa iseme mtu akiivunja apewe adhabu KaliYA MUHIMU zaidi ya mauza uza ya Rais aliyeenda Mirembe, kwenye mazungumzo yake Anthony Diallo alisema:
...Katika nchi zetu za Kiafrika Li Katiba linaweza likawekwa pembeni na watu wakaemdelea na ya kwao tu... mtamfanya nini?
...Kwani 2005 Zanzibar hakukuwa na Tume Huru? Hakukuwa na CUF kwenye tume yo Jecha? Na nini kilitokea ?
...Kwani Katiba ya sasa inaruhusu mtu kuwekwa Butimba miaka na miaka bila hukumu ??? Hawafanyi ?
... Hivi yule Donald Trump angekuwa Afrika mngemtoa Ikulu? Mngemfanya nini ?
Mimi naamini katiba mpya ndiyo suluhisho la uadilifuNDIO MIMI.
nakuuliza kama unaamini kuwa tunao watu waadilifu unadhani kwa nini hawafuati katiba kwa uadilifu wao ?
Kwahiyo hao waadilifu watatoka wapi?NDIO MIMI.
nakuuliza kama unaamini kuwa tunao watu waadilifu unadhani kwa nini hawafuati katiba kwa uadilifu wao ?
Hao wanaotafuta katiba mpya lini wameivunja hii ya sasa ?Sasa kama hawa wanaotafuta katiba ndio waadilifu kwa nini wasifuate katiba hii ya sasa kwa huo uadilifu wao ?
Kwa kutoa elimu hasa ya uzalendo, upendo, kujali haki za binadamu na kujitambua tangu utotoniKwahiyo hao watu waadilifu watapatikanaje ?
Hivi waliotaka mama asiapishwe walikuwa akina nani na walitoka chama gani?Hao wanaotafuta katiba mpya lini wameivunja hii ya sasa ?
Hiyo elimu itatolewa na nani wakati hatuna watu waadilifu ?Kwa kutoa elimu hasa ya uzalendo, upendo, kujali haki za binadamu na kujitambua tangu utotoni