Rope holes [emoji735]No katiba mpya inatakiwa iseme mtu akiivunja apewe adhabu Kali
. watawala wataogopa. Kinachotokea nikwamba kunakua na rope holes zinazo wapa unafuu wavunjaji wa katiba iliyopo
Kwahiyo hao watu waadilifu watapatikanaje ?
Kuna miaka nyuma kidogo ilikuwa kosa jinai kukutwa na katiba ya JMT....watawala ni wajinga sana walijenga hofu kubwa sana....kuna mama mmoja aliwahi fuatwa hadi kijijini huko sumbawanga kisa alipewa katiba kwenye kongamano moja hapo Morogoro sasa kazi ilikuwa kuhakikisha wanapora katiba zote walizopewa.....nilishangaa nguvu iliyotumika...wakati madukani zinauzwaMpya'?
Tena aliuchanganya na bamiaUliyeelewa huu ugoro asithubutu kunielezea.
YA MUHIMU zaidi ya mauza uza ya Rais aliyeenda Mirembe, kwenye mazungumzo yake Anthony Diallo alisema:
...Katika nchi zetu za Kiafrika Li Katiba linaweza likawekwa pembeni na watu wakaemdelea na ya kwao tu... mtamfanya nini?
...Kwani 2005 Zanzibar hakukuwa na Tume Huru? Hakukuwa na CUF kwenye tume yo Jecha? Na nini kilitokea ?
...Kwani Katiba ya sasa inaruhusu mtu kuwekwa Butimba miaka na miaka bila hukumu ??? Hawafanyi ?
... Hivi yule Donald Trump angekuwa Afrika mngemtoa Ikulu? Mngemfanya nini ?
Thanks bossRope holes [emoji735]
Loopholes. [emoji3514]