Mropokaji matha karua kaingizwa mkenge na lofa Maria Sarungi kuhusu Tanzania 🐒Mimi kama stroke.
Nawaeleza tu kwa sauti ya upole wanaharakati wa Kenya.
Hakuna mahali penye ufisadi, mauaji, wizi wa kila namna kama Kenya.
Sioni Justification yeyote ya nyie kuja Kulia lia hapa Tanzania.
Sasa nawaambia hivi??
Malizaneni kwanza nyie kabla ya kuja kwetu kutuletea harufu zenu.
In fact matha karua hata eneo la nyumbani kwake kabisa hawamkubali kwasabb ya uropokaji wake. Tangu apewe wadhifa wa kuteuliwa kwenye serikali ya nusu mkate hajawahi kupendwa na wakenya kwa uongozi wake butu mno wizara ya sheria.Kenya pamewashinda hapa Tanzania hawatapaweza Asilani.
Hao ni njaa tu inawafanya wavuke mipaka.In fact matha karua hata eneo la nyumbani kwake kabisa hawamkubali kwasabb ya uropokaji wake. Tangu apewe wadhifa wa kuteuliwa kwenye serikali ya nusu mkate hajawahi kupendwa na wakenya kwa uongozi wake butu mno wizara ya sheria.
Aling'ang'aniza eti kibaki alishinda uchaguzi kumbe hakushinda 🐒
uko sahihi, matha Karua njaa kali zaid gentleman 🐒Hao ni njaa tu inawafanya wavuke mipaka.
Wizi na ubadhirifu wa mali za uma Kenya wanaongoza.Kenya ni sehemu ya jumuiya za kimataifa. Huyu mpanga mafaili ambaye amedondokewa na urais akipuyanga lazima jumuiya ya kimataifa ziingilie kati (Kenya ikiwemo).
We ni bwege lisilojitambua, hiyo jumuiya mbn haisaidii Sudan na DRC?Kenya ni sehemu ya jumuiya za kimataifa. Huyu mpanga mafaili ambaye amedondokewa na urais akipuyanga lazima jumuiya ya kimataifa ziingilie kati (Kenya ikiwemo).
Uwanaharakati sio hobby ni mwamko na wito huwezi kuzuia wala kuelekeza.Mimi kama stroke.
Nawaeleza tu kwa sauti ya upole wanaharakati wa Kenya.
Hakuna mahali penye ufisadi, mauaji, wizi wa kila namna kama Kenya.
Sioni Justification yeyote ya nyie kuja Kulia lia hapa Tanzania.
Sasa nawaambia hivi??
Malizaneni kwanza nyie kabla ya kuja kwetu kutuletea harufu zenu.
Mimi kama stroke.