Hawa ndugu wa Janabi kuna wakati wanazingua balaa. Yaani kila mtu anajitokeza na kusema tusile hili wala tusile kile. Nimekuta huyu mmoja huko Twitter anadai tusile ugali, wali na kitu chochote kinachotokana na ngano. Kama vipi ifike sehemu waseme tusile kabisa kama kila kitu hakifai.
Kaandika hivi;
Siri 7 za kiafya zilizonifanya imara zaidi:
1. Kufuta kitu inaitwa breakfast.
2. Kula mara 2 tu kwa siku.
3. Kuacha soda, sukari n.k
4. Kuacha ngano, ugali na wali
5. Kufanya mazoezi kila wiki
6. Kula ninapohisi njaa
7. Kula chakula badala ya bidhaa
#KuwaWaMaana
Kaandika hivi;
Siri 7 za kiafya zilizonifanya imara zaidi:
1. Kufuta kitu inaitwa breakfast.
2. Kula mara 2 tu kwa siku.
3. Kuacha soda, sukari n.k
4. Kuacha ngano, ugali na wali
5. Kufanya mazoezi kila wiki
6. Kula ninapohisi njaa
7. Kula chakula badala ya bidhaa
#KuwaWaMaana