Hawa ndugu wa Janabi kuna wakati wanazingua balaa. Yaani kila mtu anajitokeza na kusema tusile hili wala tusile kile. Nimekuta huyu mmoja huko Twitter anadai tusile ugali, wali na kitu chochote kinachotokana na ngano. Kama vipi ifike sehemu waseme tusile kabisa kama kila kitu hakifai.
Kaandika hivi;