Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kwa ufupi sana
Kabla sijaanza kumlaumu Rais wangu wa wadau wengine waliotoa maneno makali kwa wanaharakati na hatimaye kusababisha matusi mazito kutoka Kenya.
Naomba kujua wale wakenya walifanya vurugu gani? Ama walikiuka sheria gani za nchi na za kimataifa? Kati ya sisi na wao nani alimfanyia mwezake vurugu.
1.