Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Hata kuja bongo kwa ajili ya kutalii huenda nalo ni kosa, sema tu serikali haijaamua au imekuwa na uvumilivuKwa ufupi sana
Kabla sijaanza kumlaumu Rais wangu wa wadau wengine waliotoa maneno makali kwa wanaharakati na hatimaye kusababisha matusi mazito kutoka Kenya.
Naomba kujua wale wakenya walifanya vurugu gani? Ama walikiuka sheria gani za nchi na za kimataifa? Kati ya sisi na wao nani alimfanyia mwezake vurugu.
1.
Ni sisi, ndio maana tumeshindwa kuwakilisha chini wakenya kwa matusi yao mazitoKwa ufupi sana
Kabla sijaanza kumlaumu Rais wangu wa wadau wengine waliotoa maneno makali kwa wanaharakati na hatimaye kusababisha matusi mazito kutoka Kenya.
Naomba kujua wale wakenya walifanya vurugu gani? Ama walikiuka sheria gani za nchi na za kimataifa? Kati ya sisi na wao nani alimfanyia mwezake vurugu.
1.
Kwa ufupi sana

Pumba ni pumba tu, hata kama zitazungumzwa kwa kingereza. Onyesha kosa la kina Karua kulingana na sheria za nchi na protocol za EAC. Eleza pia kwa nini hawakupelekwa mahakamani? Eleza pia walitekwa kwa mujibu wa sheria zipi
'Magwajima'!Kwa ufupi sana
Kabla sijaanza kumlaumu Rais wangu wa wadau wengine waliotoa maneno makali kwa wanaharakati na hatimaye kusababisha matusi mazito kutoka Kenya.
Naomba kujua wale wakenya walifanya vurugu gani? Ama walikiuka sheria gani za nchi na za kimataifa? Kati ya sisi na wao nani alimfanyia mwezake vurugu.
1.
Spika wa bunge la Kenya (Hon Moses Wetengula) na IQ yako ya ukoo wa senene nani ni pumba za mpunga??Pumba ni pumba tu, hata kama zitazungumzwa kwa kingereza. Onyesha kosa la kina Karua kukingana na sheria za nchi na protocol za EAC
Kwenye dialogue za kistaarabu heshimu hoja kinzani, we leta zako against. majadiliano ya kujenga yataendeleaSpika wa bunge la Kenya na IQ yako ya ukoo wa mchwa nani ni pumba za mpunga??
Hawakufanya vurugu yoyote wala kuvunja sheria yoyote. Ila Rais na CCM waķo kwenye panick model. Wanaogopa hadi kishindo cha janiKwa ufupi sana
Kabla sijaanza kumlaumu Rais wangu wa wadau wengine waliotoa maneno makali kwa wanaharakati na hatimaye kusababisha matusi mazito kutoka Kenya.
Naomba kujua wale wakenya walifanya vurugu gani? Ama walikiuka sheria gani za nchi na za kimataifa? Kati ya sisi na wao nani alimfanyia mwezake vurugu.
1.
Kama hawajavunja sheria yoyote, basi nakupa SHIKAMOO, pls carryon with your imbecelic attitudeHawakufanya vurugu yoyote wala kuvunja sheria yoyote. Ila Rais na CCM waķo kwenye panick model. Wanaogopa hadi kishindo cha jani
Hebu tusaidie wewe mjuvi wa mambo haya ya kisheria na taratibu kwa walichokifanya, matusi wala hayatoi majibu yoyoteKama hawajavunja sheria yoyote, basi nakupa SHIKAMOO, pls carryon with your imbecelic attitude
Kujitafutia lawama tuKwa ufupi sana
Kabla sijaanza kumlaumu Rais wangu wa wadau wengine waliotoa maneno makali kwa wanaharakati na hatimaye kusababisha matusi mazito kutoka Kenya.
Naomba kujua wale wakenya walifanya vurugu gani? Ama walikiuka sheria gani za nchi na za kimataifa? Kati ya sisi na wao nani alimfanyia mwezake vurugu.
1.
Mbona hata Tulia ni spika. Mpuuzi ndio huangalia nani kaongea badala ya point gani kaongeaSpika wa bunge la Kenya (Hon Moses Wetengula) na IQ yako ya ukoo wa senene nani ni pumba za mpunga??
Nasikia mama mwenye mimba mtukanaji huzaa litoto litukanajiKama hawajavunja sheria yoyote, basi nakupa SHIKAMOO, pls carryon with your imbecelic attitude