Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,035
- 46,479
Wanaukumbi.
Nadhani sasa wanaharakati wameelewa nini maana ya kiapo cha utii kwa AMIRI JESHI mkuu kinachofanywa na JWTZ..
Hawa ndiyo wanajeshi mlikuwa mnajazwa ujinga eti wanawatumia wanaharakati wenu meseji DM 😁😁😁
Wanaharakati wenu hawanaga akili kabisa !.. Ila leo wameelewa nini maana ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais
Tutaendelea kuwafundisha vitu kwa mifano mbalimbali na tofauti tofauti mpaka muelewe maana mna vichwa vigumu sana!..