Wanaharakati wamshuku Faortunatus Buyobe kuwa anawa-snitch

Wanaharakati wamshuku Faortunatus Buyobe kuwa anawa-snitch

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,380
Reaction score
68,484
Baadhi ya wanaharakati huko kwenye mtandao wa X wanadai mwandishi wa habari za uchunguzi bwana Fortunatus Buyobe ni mtu wa system anatumika kuwauza.

Mmoja ya wanaharakati hao ni Mshabaha ambaye alinusurika kutekwa siki kadhaa zilizopita huko Nairobi.

Wameenda mbali zaidi, wanadai alikuwa ni sehemu ya watu wasiojulikana waliokuwepo Nairobi siki chache zilizopita ili kuwafatilia wanaharakati wa Tanzania waishio Kenya.

Kadri upepo unavyovuma, ndio nyeti za kuku zinavyoonekana.
 
Wanaharakati kwa sasa wanagombana wenyewe kwa wenyewe. Kuna wanaolaumiwa kutafuna pesa za michango. Kimsingi umoja wao ni wa kishetani ndo maana mapema sana wameanza kugombana.
 
Back
Top Bottom