Baadhi ya wanaharakati huko kwenye mtandao wa X wanadai mwandishi wa habari za uchunguzi bwana Fortunatus Buyobe ni mtu wa system anatumika kuwauza.
Mmoja ya wanaharakati hao ni Mshabaha ambaye alinusurika kutekwa siki kadhaa zilizopita huko Nairobi.
Wameenda mbali zaidi, wanadai alikuwa ni sehemu ya watu wasiojulikana waliokuwepo Nairobi siki chache zilizopita ili kuwafatilia wanaharakati wa Tanzania waishio Kenya.
Kadri upepo unavyovuma, ndio nyeti za kuku zinavyoonekana.