Wanaharakati wanadhani Ku pinga kila kitu ndo uanaharakati hasa huko twitter, Au wanatafta pa kula?

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kuna watu wamejijengea heshima Kwa Miaka mingi ila Kwa sasa wamekuwa wa kupuuzwa!

Mara tatu Samia anataka kujiuzulu mwaka 2017 tarehe 6 June aliandika barua kwenye Suala linahusu kukaripiwa Kama mtoto Mdogo ndani ya korido za ikulu akatishwa kwamba yatakayo mtokea yanaweza kuwa mabaya zaidi,

Mwaka 2017 mwezi wa 11 alipotoka Nairobi yeye alitishwa sana kusema nimetumwa na Rais kumuona Lissu

Mwaka 2019 Tarehe 3 mwezi wa 10 barua ya kutaka kujiuzulu Ali yang’anywa na Mama makinda kwamba avumilie hii ilihusu Suala la bei ya mafuta wakitofautiana na Magufuli

Leo anasema ukweli kuna wale wanaharakati uchwara leo wanaona Samia amekosea kusema ilikuwa vigumu kufanya na Magufuli?

Kale ka Magoti ka kigamboni kametumwa kumwekea Sumu Mangula baada ya kushauri mwenendo wa Magufuli leo mna Ona ni wa kutetewa???

Britanicca
 
Maana kama file lilifichwa tumwombee laana alieficha ila kama lilifika meza kuu na wakalisoma na bado wakashipaza shingo basi tuwalaani hao, ila mimi namlaani mzee wa Lupaso hadi kesho ujeuri wake ndio uliofanya tufike hapa japo katikati aligundua akaanza kuunguruma ila alikuwa amechelewa
 
Nani alificha file la magufuli dakika za mwisho au halikumfikia mkuu?
Mama alinyamaza tu mambo yapite ila Kama si Busara za Samia Kina bashiru, Mpango na Wengine wangekuwa jela
 
Ndio maana baada ya ile report niliona watu wapo kimya hata mzuka uliisha wa kutoa matamko
 
Kuna watu wamejijengea heshima Kwa Miaka mingi ila Kwa sasa wamekuwa wa kupuuzwa!

Mara tatu Samia anataka kujiuzulu mwaka 2017 tarehe 6 June aliandika barua kwenye Suala linahusu kukaripiwa Kama mtoto Mdogo ndani ya korido za ikulu akatishwa kwamba yatakayo mtokea yanaweza kuwa mabaya zaidi,

Mwaka 2017 mwezi wa 11 alipotoka Nairobi yeye alitishwa sana kusema nimetumwa na Rais kumuona Lissu

Mwaka 2019 Tarehe 3 mwezi wa 10 barua ya kutaka kujiuzulu Ali yang’anywa na Mama makinda kwamba avumilie hii ilihusu Suala la bei ya mafuta wakitofautiana na Magufuli

Leo anasema ukweli kuna wale wanaharakati uchwara leo wanaona Samia amekosea kusema ilikuwa vigumu kufanya na Magufuli?

Kale ka Magoti ka kigamboni kametumwa kumwekea Sumu Mangula baada ya kushauri mwenendo wa Magufuli leo mna Ona ni wa kutetewa???

Britanicca
Dah!... Mazito haya...
 
Usichokijua ni kwamba chawa naye lazima atetee hata kama ni upuuzi wa kiasi gani...

Back
Top Bottom