Tetesi: Wanaharakati wanaomtetea Rais kumfungulia kesi Tundu Lissu ya kumzushia uongo kumkashifu na kumkumvunjia heshima Rais Magufuli

Jaji huyo akamalizia kwa kusema kuwa:

New thinkers are born when they disagree with well accepted norms of society. If everybody follows the well trodden path, no new paths will be created, no new explorations will be done and no new vistas will be found. We are not dealing with vistas and explorations in the material field, but we are dealing with higher issues. If a person does not ask questions and does not raise issues questioning age old systems, no new systems would develop and the horizons of the mind will not expand. Whether it be Buddha, Mahavira, Jesus Christ, Prophet Mohammad, Guru Nanak Dev, Martin Luther, Kabir, Raja Ram Mohan Roy, Swami Dayanand Saraswati, Karl Marx or Mahatma Gandhi, new thoughts and religious practices would not have been established, if they had quietly submitted to the views of their forefathers and had not questioned the existing religious practices, beliefs and rituals.

Hivyo basi tusiogope kupewa mawazo mbadala yana tija, tukianza kukataa tutakuwa tunaleta udumavu wa fikra.

Muda wowote kuanzia sasa mtetezi wa Acacia na Mabeberu kufunguliwa kesi ya kumdhalilisha na kumzushia uongo RAIS. JPM Tunategemea huyu mtu asakwe popote alipo kuja kujibu mashitaka yake athibishe kama aliyasema haya akiwa mzima au alikuwa amechanganyikiwa siku amekanyaga uwanja wa ndege Terminal3 inatakiwa anyang'anywe Passport ya kusafiria
 
Ni wana harakati wanao mtetea Raisi ndio watamshitami Lissu. Siyo Raisi, soma tena.
Hivi hiyo kesi si ni ya madai? Kuwa kadhalilishwa?
Sasa inakuwaje mtu mwingine aseme Fulani kadhalilishwa badala ya yeye mwenyewe?
Huo utakuwa ujinga wa hali ya juu
 
Kaini hakufa, hakuna aliyeshuhudia kifo cha Kaini, baada ya kumuua nduguye Habili, Mungu alimlaani na kumwambia hatokufa tena bali atakuwa mtoro wa Dunia .
Jiwe limelaaniwa mwisho wa siku litagomea ofisini hadi liwashwe shaba ya kichwani .
Siku hiyo yaja na nilisha tabiri mwisho wa huyu jiwe ni shaba au kuishi uhamishoni
 
Jaji huyo akamalizia kwa kusema kuwa:

New thinkers are born when they disagree with well accepted norms of society. If everybody follows the well trodden path, no new paths will be created, no new explorations will be done and no new vistas will be found. We are not dealing with vistas and explorations in the material field, but we are dealing with higher issues. If a person does not ask questions and does not raise issues questioning age old systems, no new systems would develop and the horizons of the mind will not expand. Whether it be Buddha, Mahavira, Jesus Christ, Prophet Mohammad, Guru Nanak Dev, Martin Luther, Kabir, Raja Ram Mohan Roy, Swami Dayanand Saraswati, Karl Marx or Mahatma Gandhi, new thoughts and religious practices would not have been established, if they had quietly submitted to the views of their forefathers and had not questioned the existing religious practices, beliefs and rituals.

Hivyo basi tusiogope kupewa mawazo mbadala yana tija, tukianza kukataa tutakuwa tunaleta udumavu wa fikra.
Na zimedumaa kweli.
Ni lazima kufikiri kinyerere Nyerere UNATEGEMEA NINI!!
 
Kaini hakufa, hakuna aliyeshuhudia kifo cha Kaini, baada ya kumuua nduguye Habili, Mungu alimlaani na kumwambia hatokufa tena bali atakuwa mtoro wa Dunia .
Jiwe limelaaniwa mwisho wa siku litagomea ofisini hadi liwashwe shaba ya kichwani .
Upumbavu tu! Badala ya muanze kujipanga kwa ajili ya uchaguzi wa selikali za mtaa ambao ndio utatoa muelekeo wa uchaguzi mkuu nyie mnahangaika na hoja za kipumbavu kama hizi!

Huwa nawauliza kila siku kwamba hivi hizi hasira zenu Mngekuwa mnazionesha kwenye hoja ya kudai tume huru ya uchaguzi au hata katiba mpya si Mngekuwa mmefika sehemu inayoeleweka?

Sasa kuonesha hasira yako kwa kitu cha kipumbavu kama hiki si unaonekana mpumbavu zaidi?

Ccm siyo kwamba inatawala nchi hii sababu inapendwa hapana! Ni kwamba hao tunaosema wangekuwa ndio mbadala mmejaa upumbavu mtupu.
 
Muda wowote kuanzia sasa mtetezi wa Acacia na Mabeberu kufunguliwa kesi ya kumdhalilisha na kumzushia uongo RAIS. JPM Tunategemea huyu mtu asakwe popote alipo kuja kujibu mashitaka yake athibishe kama aliyasema haya akiwa mzima au alikuwa amechanganyikiwa siku amekanyaga uwanja wa ndege Terminal3 inatakiwa anyang'anywe Passport ya kusafiria
Sadi sana. Na ikiwa hivyo, nami nitasaidia kukusanya ushahidi.
 
Tuorodheshee hayo madai
Muda wowote kuanzia sasa mtetezi wa Acacia na Mabeberu kufunguliwa kesi ya kumdhalilisha na kumzushia uongo RAIS. JPM Tunategemea huyu mtu asakwe popote alipo kuja kujibu mashitaka yake athibishe kama aliyasema haya akiwa mzima au alikuwa amechanganyikiwa siku amekanyaga uwanja wa ndege Terminal3 inatakiwa anyang'anywe Passport ya kusafiria
 
Leo lumumba naona mmeamka na free breakfast.

Muda wowote kuanzia sasa mtetezi wa Acacia na Mabeberu kufunguliwa kesi ya kumdhalilisha na kumzushia uongo RAIS. JPM Tunategemea huyu mtu asakwe popote alipo kuja kujibu mashitaka yake athibishe kama aliyasema haya akiwa mzima au alikuwa amechanganyikiwa siku amekanyaga uwanja wa ndege Terminal3 inatakiwa anyang'anywe Passport ya kusafiria
Hii safi Maana kazidi Upuuzi
 
Washamba na malimbukeni at work.Naona kuna akili ya Bashite imetumika kuanzisha uzi huu.
 
Ni wana harakati wanao mtetea Raisi ndio watamshitami Lissu. Siyo Raisi, soma tena.
Wanamtetea rais kwa maelekezo yake au kwa kujikomba?.
Iweje adhalilishwe rais maumivu wayapate the so called wanaharakati.
Kama rais amekelwa anashindwaje kujitetea kama yeye au taasisi.
 
Sawa
IMG_20190917_093616.jpeg
 
Muda wowote kuanzia sasa mtetezi wa Acacia na Mabeberu kufunguliwa kesi ya kumdhalilisha na kumzushia uongo RAIS. JPM Tunategemea huyu mtu asakwe popote alipo kuja kujibu mashitaka yake athibishe kama aliyasema haya akiwa mzima au alikuwa amechanganyikiwa siku amekanyaga uwanja wa ndege Terminal3 inatakiwa anyang'anywe Passport ya kusafiria
Kwani alisema Je Lissu kuhusu Rais ili tuone kama alimzushia ?!. Vingine ni sifa za mtu.
 
Muda wowote kuanzia sasa mtetezi wa Acacia na Mabeberu kufunguliwa kesi ya kumdhalilisha na kumzushia uongo RAIS. JPM Tunategemea huyu mtu asakwe popote alipo kuja kujibu mashitaka yake athibishe kama aliyasema haya akiwa mzima au alikuwa amechanganyikiwa siku amekanyaga uwanja wa ndege Terminal3 inatakiwa anyang'anywe Passport ya kusafiria
wengi wao ni wale walioandamana kutaka ndege iachiwe
 
Muda wowote kuanzia sasa mtetezi wa Acacia na Mabeberu kufunguliwa kesi ya kumdhalilisha na kumzushia uongo RAIS. JPM Tunategemea huyu mtu asakwe popote alipo kuja kujibu mashitaka yake athibishe kama aliyasema haya akiwa mzima au alikuwa amechanganyikiwa siku amekanyaga uwanja wa ndege Terminal3 inatakiwa anyang'anywe Passport ya kusafiria
Hivi na wewe unajiona ni mtu makini kwa ku post utumbo huu kama mwenyekiti wenu anavyongeaga utumbo akipewaga mic
 
Back
Top Bottom