Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
-
- #61
Unamjua mtu yupi akiuza figo?Hivi mahakamani watashtakiwa kwa kosa gani? Kama haki ikitendeka watashinda. Walikuwa kwenye faragha na wala sio kujiuza. Hata kama ni kujiuza, mbona sijasikia mtu kashtakiwa kwa kuuza figo yake?
Tupunguze ujuaji, mbona miaka yote hata BAKWATA ina kibali cha kuagiza sukari.Nchemba na Kizimkazi hela zote za mikopo wanaiba. Sukari zinapewa tenda kampuni za simu kununua ili fungu lifike kwa Bashe.
Waacheni tu hao dada poa wajipatie kipato huku wananchi tukijitoa stress kwao
Nimeona mtandaoni watu wengi wakiwamo wanasheria na wanaharakati wakitetea makahaba waliokamatwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo
Ukahaba ni kinyume na maadili yetu watanzani na umekatazwa kwenye vitabu vyote vya dini
Sasa unapokuta mtetezi wa hao watu wanaofanya vitendo viovu unajiuliza dunia inakwenda wapi?
Wanadai kuwakamata ni kuingilia faragha za watu, sasa hata mashoga basi tusiwakamate kwa sababu ni kuingilia faragha zao pia?
Wengine utawasikia wakisema kuwa wanaojiuza wana maisha magumu, huu ni upumbavu, kwani wamama wanaouza magenge, wanaofanya usafi, wanaolima, kuosha vyombo n.k hawana maisha magumu kuliko hao makahaba?
Tumekataza ushoga na tunaupinga kwa nguvu zote kwa sababu ni kinyume na maadili yetu, kwa nini ukahaba tunashindwa kuukemea?
PIA SOMA
- Vita ya DC Ubungo na Makahaba: Mgongano wa sheria, haki na maadili
- Kuna kesi ya udhalilishaji kama wale walioonekana kwenye video ya kukamata makahaba watapata mwanasheria mzuri
- Vigezo gani anavitumia DC wa wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuvamia kumbi za starehe na nyumba za wageni kukamata watu anaodai ni makahaba?
Kwa hiyo kisa kuna kero za maji tiache watu waharibu jamii kwenda kujiuza mchana, ushawahi kwenda Sinza ukaona kero ya makahaba?Hatutetei ukahaba ila tunapinga kufanya vitu vya kijinga kwa mihemko. Unataka kuniambia hapo Ubungo kero za maji na miundombinu mibovu umemaliza kuitatua mpaka uhamie kwenye ukahaba?
Ulishawahi kukaa na wananchi wa wilaya yako ukauliza matatizo yao wakakwambia ni “Ukahaba?” Huo ushamba wako wa Tarime usituletee town.
Kwa hiyo kisa kuna kero za maji tiache watu waharibu jamii kwenda kujiuza mchana, ushawahi kwenda Sinza ukaona kero ya makahaba?
Hauwezi niua kipenziUNAFIKIIIIII!!!!!!
Unakusumbua wee.
Wapo rumande hadi muda huu, kaandamane sasaTatizo lako ni elimu ya shule za kata
Wenzenu wanapigania kupunguzwa kwa kodi huko nyie kamasi zinawatoka kwenye umalaya, ushoga na porojo nyingine za utamaduni, what a shame!Mi nadhani ili kuepuka hayo yote ni kufanya marekebisho ya katiba kwenye ile ibara inayoongelea kuhusu right of privacy hasa kwenye matrimonial life na iwekwe wazi kuwa ukahaba na ushoga ni haramu, na kuwe na sheria maalumu ya maadili na tamaduni za kitanzania (Tanzania culture act).
Wamethitishwa na mahakama gan kwamba ni makahaba? Au mnawahukumu tu kienyeji? Kuna sehemu kwenye kusimamia maadili tumefail kama taifa tutafute wapi tulipojikwaa then tusonge mbeleNdio point yangu, watetezi wa makahaba pia ni watetezi wa mashoga, wewe ni shahidi wa point yangu
fanya linalowezekana, wao wanapigania kwa maandamano na serikali inawashikilia, kama unaona ni kitu rahisi nawe andamana yakukute ya akwelina.Wenzenu wanapigania kupunguzwa kwa kodi huko nyie kamasi zinawatoka kwenye umalaya, ushoga na porojo nyingine za utamaduni, what a shame!