Nawaonea huruma wanaharakati wa Tanzania ambao wamejitwika zigo la misumari vichwani mwao kuhakikisha kazi na sifa njema za aliyekuwa Raisi wetu JPM wanazipinga na kuwakwamisha wote waliokuwa wafuasi wake kama wanavyajaribu kwa mwanamziki wa kimataifa wa Kitanzania Maarufu kwa jina la Daimond kumchafua.
Nasema wanakazi ngumu kwa sababu, wakijaribu kupinga hili linaibuka jingine tena, na hivyo naendelea kuwakumbusha tena, Kuna Eneo pale Makao makuu ya nchi yetu Dodoma, kuna mtaa ambao umepimwa na tayari upo katika hatua nzuri za ukamilishaji ukiitwa kwa jiba la Magufuli City.
Kazi yenu tena kudili na wanaohusika kumpa JPM jina la mtaa huo ili hali ungeweza kuitwa kwa jina la Kamanda mmoja wapo kama Mbowe au Lema na au Msigwa!!
Kazi kwenu tena kuhakikisha Jina la Magufuli halitajwi kabisa sehemu yoyote ile Tanzania.
Nawaambia enyi wanaharakati wanafiki sizani kama mtaweza kupambana na huyo hayati Mwamba, Jembe JPM ambaye licha ya kutokuwa nasi ktk mwili huu, lakini bado anawaogopesha wote wanasiasa njaaa!!