Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,146
- 15,927
Ni more than one month sasa, mara SSH anaumwa, mara amekufa. Mara Lissu atahukumiwa kunyongwa, mara Lema sijui amefanya nini, maujinga tu!
Yaani watu wanafanya project ya kuwamaliza na kumaliza kabisa credibility yao kirahisi kabisa. Yalivyo majinga yanashupaa tu na kuandika andika na kupost video.
Tumieni hivyo vichwa nyie watu. Sio kila unachotumiwa wewe ni kirusha tu., hauna filter kabisa.