Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,146
- 15,927
Maandamano yanayopangwa hiyo 7/7 hayatofanikiwa! Psychology ya watu haipo kabisa huko.
Afadhali wanaharakati wangewaacha CDM waendelee na mikutano yao na kuendelea kushawishi pressure kutoka nje.
Zaidizaidi yataishia kudhoofisha harakati kwa "kuipa kiburi" serikali na kuiaminisha kuwa watu wanaogopa kuandamana baada ya mauaji ya 29/10.
Na hicho ni kitu kibaya kwakuwa washauri wa serikali kwenye mambo ya ulinzi watazidi ku 'reinforced' idea ya kuwa ukatili ndio njia sahihi ya kudhibidi wananchi.