Mkuu jukwaa huru hili,, ulitaka kulazimisha kila mtu akaandamane??We hata elimu ulikosa kuhusu walijitolea wakafa kwa ajili ya ujinga wako ukaishi na uhuru na kutumia vitu ambavyo unaweka emoji kumbe vyao tokea mpaka leo.
Wewe ni katika wale wapiga debe na waokota makopo au wamachinga?Maandamano yanayopangwa hiyo 7/7 hayatofanikiwa! Psychology ya watu haipo kabisa huko.
Afadhali wanaharakati wangewaacha CDM waendelee na mikutano yao na kuendelea kushawishi pressure kutoka nje.
Zaidizaidi yataishia kudhoofisha harakati kwa "kuipa kiburi" serikali na kuiaminisha kuwa watu wanaogopa kuandamana baada ya mauaji ya 29/10.
Na hicho ni kitu kibaya kwakuwa washauri wa serikali kwenye mambo ya ulinzi kwa serikali watazidi ku reinforced idea ya kuwa ukatili ndio njia sahihi ya kudhibidi wananchi.
Inaleta tofauti ipi?Mkuu,
Chalamila kutoka kupiga mkwala tu maandamano yashafanikiwa bila kujali yatafanyika au hayatafanyika.
Kwa sasa katika jumuiya ya kimataifa iliyoangalia na kurekodi kauli za Chalamila maandamano yasipofanyika , kitakachoeleweka ni kwamba serikali ya Tanzania imetishia wananchi wake kuwaua tena wakiandamana mpaka wananchi wameshindwa kutumia haki yao ya kikatiba ya kuandamana.
Huelewi wapi?
Kwani alliyekutuma uje kwa namna hii hakuona wengine ambao wangekuja kivingine?Maandamano yanayopangwa hiyo 7/7 hayatofanikiwa! Psychology ya watu haipo kabisa huko.
Afadhali wanaharakati wangewaacha CDM waendelee na mikutano yao na kuendelea kushawishi pressure kutoka nje.
Zaidizaidi yataishia kudhoofisha harakati kwa "kuipa kiburi" serikali na kuiaminisha kuwa watu wanaogopa kuandamana baada ya mauaji ya 29/10.
Na hicho ni kitu kibaya kwakuwa washauri wa serikali kwenye mambo ya ulinzi kwa serikali watazidi ku reinforced idea ya kuwa ukatili ndio njia sahihi ya kudhibidi wananchi.
Kabla ya tukio lile la October 29, uliawihi kuwaona watu wakiwa wamejiandaa kuandamana?Nimepita 'huku na kule', siwaoni watu wakiwa kama walivyokuwa ile October.
Nilowahi kuwaona. Kwa sisi wa zamani tunakumbuka maandamano mengi tu yaliyowahi kufanyika nchini.Kabla ya tukio lile la October 29, uliawihi kuwaona watu wakiwa wamejiandaa kuandamana?
Haya ni mawazo yangu huru. Hakuna "aliyenituma". Lakini probably ya maoni yangu kuwa kweli ni zaidi ya 95%.Kwani alliyekutuma uje kwa namna hii hakuona wengine ambao wangekuja kivingine?
Ni kweli watu wanavidonda moyoni, lakini hawatoandamana kama ambavyo hawakuandamana ile 9 December!Wewe ni katika wale wapiga debe na waokota makopo au wamachinga?
Tutaona na kusikia mengi lakini waombolezaji siyo WAJINGA kama mnavyoaminishwa hapo lumumba
True, lakini ni muhimu kupambana kimkakati. Make sure you live to fight another day.
Lengo hilo ni potofu, hauwezi kupata support kutoka ndani ya mifumo ukileta habari za kuhatarisha muungano.Lengo la maandamano ya 7/7 ilikuwa ni kuhamasisha Utanganyika.
Iko hivi, ukimtishia mtu basi hakikisha unao uwezo wa kutekeleza vitisho vyako kama asipokusikiliza.Wewe una akili ndogo sana, unadhani kwa akili zako watu wote ni wajinga kama wewe. Fungua akili uone mbele, wewe unaona tarehe 7/7 tu
Muda utaongea, but by my personal analysis sioni yakifanikiwa.Maandamano yapo, tena makubwa..
Tunataka nch yetu tunataka nch yetuMaandamano yanayopangwa hiyo 7/7 hayatofanikiwa! Psychology ya watu haipo kabisa huko.
Afadhali wanaharakati wangewaacha CDM waendelee na mikutano yao na kuendelea kushawishi pressure kutoka nje.
Zaidizaidi yataishia kudhoofisha harakati kwa "kuipa kiburi" serikali na kuiaminisha kuwa watu wanaogopa kuandamana baada ya mauaji ya 29/10.
Na hicho ni kitu kibaya kwakuwa washauri wa serikali kwenye mambo ya ulinzi watazidi ku 'reinforced' idea ya kuwa ukatili ndio njia sahihi ya kudhibidi wananchi.
Hiyo paragraph yako ya mwisho ndiyo inaonesha huelewi siasa na harakati za Tz. Nikuambie tu hayo maandamano yameivuruga serikali kuliko unavyo dhani. Kwahiyo unadhani wanao organize hayo maandamano hawajui kama yatafanikiwa au laah? Sasa hivi watu wanaenda kwa mahesabu.Iko hivi, ukimtishia mtu basi hakikisha unao uwezo wa kutekeleza vitisho vyako kama asipokusikiliza.
Ukitoa vitisho alafu ukashindwa ku follow through inakudhoofisha!
Kosa hilo hata kaka yake Polepole amelifanya mara kadhaa.
Sasa kama unaitisha maandamano wakati unaona kabisa 'atmosphere hairuhusu' kisha yanafeli unadhani watesi wako wanapata picha gani??
Dah, sijaeleweka vizuri.Nilowahi kuwaona. Kwa sisi wa zamani tunakumbuka maandamano mengi tu yaliyowahi kufanyika nchini.
Nimekuelewa! Hakukuwa na maandalizi rasmi, lakini watu wengi walikuwa na nia ya kuzuia uchaguzi. (No reforms no election).Dah, sijaeleweka vizuri.
Nilimaanisha hivi: ' katika hili tukio baya kabisa la mauaji na maandamano ya Oct 29, uliwaona watu wakijiandaa kuandamana kabla ya Trh 29' ?