7/7 ni 'miscalculation' ya wanaharakati, itafeli na kuishia kuwadhoofisha

7/7 ni 'miscalculation' ya wanaharakati, itafeli na kuishia kuwadhoofisha

Hiyo paragraph yako ya mwisho ndiyo inaonesha huelewi siasa na harakati za Tz. Nikuambie tu hayo maandamano yameivuruga serikali kuliko unavyo dhani. Kwahiyo unadhani wanao organize hayo maandamano hawajui kama yatafanikiwa au laah? Sasa hivi watu wanaenda kwa mahesabu.
Usidhani serikali inapuuzia hayo maandamano kama wewe unavyo puuzia, wewe unaona hayana impact ila nikuambie serikali ishaona hayo maandamano hata yasipokuwepo ni tatizo, tena wanataman yawepo ili wa react passive.
Mkuu huna hata D ya civics au uraia?
Uko sahihi kabisa, lakini kitendo cha kuitisha maandamano kisha yafeli kitairudishia nguvu serikali.
 
Back
Top Bottom